Kikwete ateua wawili kutoka ccm Arusha, kuwa wakuu wa wilaya wapya

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
MAJIDI Hemedi Mwanga,mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa na mjumbe wa kamati ya maadili ulinzi na usalama ya mkoa wa Arusha na MRISHO GAMBO mjumbe wa baraza la vijana Taifa,Rais Kikwete amewateua kuwa wakuu wa wilaya wakitokea mkoa wa Arusha
 
Gambo ndo kishaula tena daahhh katika list nilitaraji kumuona mamangu lakini poa tu
 
MAJIDI Hemedi Mwanga,mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa na mjumbe wa kamati ya maadili ulinzi na usalama ya mkoa wa Arusha na MRISHO GAMBO mjumbe wa baraza la vijana Taifa,Rais Kikwete amewateua kuwa wakuu wa wilaya wakitokea mkoa wa Arusha
MAJINA YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 70 NA VITUO VYAO VYA KAZI
NA. JINA KITUO CHA KAZI

1. Novatus Makunga Hai

2. Mboni M. Mgaza Mkinga

3. Hanifa M. Selungu Sikonge

4. Christine S. Mndeme Hanang

5. Shaibu I. Ndemanga Mwanga

6. Chrispin T. Meela Rungwe

7. Dr. Nasoro Ali Hamidi Lindi

8. Farida S. Mgomi Masasi

9. Jeremba D. Munasa Arumeru

10. Majid Hemed Mwanga Lushoto

11 Mrisho Gambo Korogwe

12. Elias C. J. Tarimo Kilosa

13. Alfred E. Msovella Kiteto

14. Dkt. Leticia M. Warioba Iringa

15. Dkt. Michael Yunia Kadeghe Mbozi

16. Mrs. Karen Yunus Sengerema

17. Hassan E. Masala Kilombero

18. Bituni A. Msangi Nzega

19. Ephraem Mfingi Mmbaga Liwale

20. Antony J. Mtaka Mvomero

21. Herman Clement Kapufi Same

22. Magareth Esther Malenga Kyela

23. Chande Bakari Nalicho Tunduru

24. Fatuma H. Toufiq Manyoni

25. Seleman Liwowa Kilindi

26. Josephine R. Matiro Makete

27. Gerald J. Guninita Kilolo

28. Senyi S. Ngaga Mbinga

29. Mary Tesha Ukerewe

30. Rodrick Mpogolo Chato

31. Christopher Magala Newala

32. Paza T. Mwamlima Mpanda

33. Richard Mbeho Biharamulo

34. Jacqueline Liana Magu

35. Joshua Mirumbe Bunda

36. Constantine J. Kanyasu Ngara

37. Yahya E. Nawanda Iramba

38. Ulega H. Abadallah Kilwa

39. Paul Mzindakaya Busega (mpya)

40. Festo Kiswaga Nanyumbu

41. Wilman Kapenjama Ndile Mtwara

42. Joseph Joseph Mkirikiti Songea

43. Ponsiano Nyami Tandahimba

44. Elibariki Immanuel Kingu Kisarawe

45. Suleiman O. Kumchaya Tabora

46. Dkt. Charles O. F. Mlingwa Siha

47. Manju Msambya Ikungi (mpya)

48. Omar S. Kwaangw' Kondoa

49. Venance M. Mwamoto Kibondo

50. Benson Mpesya Kahama

51. Daudi Felix Ntibenda Karatu

52. Ramadhani A. Maneno Kigoma

53. Sauda S. Mtondoo Rufiji

54. Gulamhusein Kifu Mbarali

55. Esterina Kilasi Wanging'ombe (mpya)

56. Subira Mgalu Muheza

57. Martha Umbula Kongwa

58. Rosemary Kirigini Meatu

59. Agness Hokororo Ruangwa

60. Regina Chonjo Nachingwea

61. Ahmed R. Kipozi Bagamoyo

62. Wilson Elisha Nkhambaku Kishapu

63. Amani K. Mwenegoha Bukombe

64. Hafsa M. Mtasiwa Pangani

65. Rosemary Staki Senyamule Ileje

66. Selemani Mzee Selemani Kwimba

67. Lt. Col. Ngemela E. Lubinga Mlele (mpya)

68. Iddi Kimanta Nkasi

69. Muhingo Rweyemamu Handeni

70. Lucy Mayenga Uyui





OFISI YA WAZIRI MKUU,

DAR ES SALAAM.
 
MAJIDI Hemedi Mwanga,mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa na mjumbe wa kamati ya maadili ulinzi na usalama ya mkoa wa Arusha na MRISHO GAMBO mjumbe wa baraza la vijana Taifa,Rais Kikwete amewateua kuwa wakuu wa wilaya wakitokea mkoa wa Arusha
Nrisho Gamba?
 
Back
Top Bottom