Chief Charles A.Taku - anatafuta ulaji, sijui kama alishafanikiwa au ndio bado kinapikwa! Ajitaharidhishe, asije akajikuta mkataba wake na mahakama hiyo ya Rwanda unakwisha kabla maslahi yake hajapewa. Andrew Young, you are a slow learner. Some of us believed that way too; now we know better.