Hongera mama Salma! Kumbe unaruhusu vi-short chacess kutoa huduma, nina kidada changu disgne hiyo hiyo, ngoja nikiambie kiwe kinajipitishapitisha kwa mkulu, maisha magumu huenda tukapata mtaji mweee!!!
We koma Mie sio huyo mwalimu wa shule ya msingi..
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Blantyre ,Malawi leo jioni kuhushuria Mazishi ya Profesa Bingu wa Mutharika, aliyekuwa Rais wa Malawi., aliyefariki tarehe 5 April, 2012 Kufuatia matatizo ya Moyo. Rais Kikwete ni miongoni mwa Viongozi wakuu Saba kutoka nchi jirani na Malawi.
Ukiona Rais haoni aibu kujianika na mawaziri ambao wana kashfa nzito katika utendaji licha ya kushinikizwa na Bunge la nchi ambalo ndiyo sauti ya wananchi hapo kuna tatizo.
Mbona JK mikono mfukoni au ndio ndudu/shafti inaleta taabu kwa kabinti hako mbele!!!!!!!!
we nawewe acha ujinga wako si bendera ya taifa hiyo katika mavazi,wabongo bwana wangevaa bendera ya marekani usingekua na nongwa
Hapo ni Kilimanjaro H, mlango wa mbele kabisa!
Vipi mazee? inakuwaje huyu janjaweed mbona hajibiwi swali lakeeee? kwani huyo shortie anakwaruza roho yangu pia!Nasubiri ujibiwe; inaonekana kama vile nguo alizovaa na zile alizovaa Kikwete zilinunuliwa siku na sehemu moja.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Blantyre ,Malawi leo jioni kuhushuria Mazishi ya Profesa Bingu wa Mutharika, aliyekuwa Rais wa Malawi., aliyefariki tarehe 5 April, 2012 Kufuatia matatizo ya Moyo. Rais Kikwete ni miongoni mwa Viongozi wakuu Saba kutoka nchi jirani na Malawi.
Ukiona Rais haoni aibu kujianika na mawaziri ambao wana kashfa nzito katika utendaji licha ya kushinikizwa na Bunge la nchi ambalo ndiyo sauti ya wananchi hapo kuna tatizo.
Tatizo liko wapi? Bado ni viongozi wana mamlaka ya kiuongozi.
Huyo ni mtoto wake mkubwa wa kike.
nadhan suruali inamvuka hiyoHalafu, suruali inataka kumvuka nini, mbona kaibeba kwa mikono???