Kikwete anatarajiwa kuwa Mgeni DICOTA 2011, Washington DC

Ngoja tusubiri mapokezi yake.Ila ukweli ni kwamba JK angesitisha safari za nje aimarishe masuala ya ndani kama bei ya mafuta, mfumuko wa bei za bidhaa na mgao wa umeme.Rais anaona raha gani kusafiri wakati kuna matatizo nyumbani kwake?
 
Nimesoma hili gunzi la mahindi hapa chini linataka mtanzania amjibu sijui kuna haja ya kumjibu huyu? Ulikuwa wapi wakati kikwete anakalia constitution ya nchi? Aliempa madaraka ya kuteua tume ua uchaguzi ni nani? Hizo kura za milioni ishirini alipigiwa na wewe na wajomba zenu? Nendeni mkadanganye ndugu zenu na familia ya mugabe. Tutawaondoa tu hata kama mkiona hao ffu mnawapa orders wanawasikiliza na kuwacheka kwa ujinga wenu.

wewe unauliza uchaguzi upi ambao JK hakushinda? unamaanisha nani alishinda, slaa kwa kura za kaskazini na kanda ya ziwa tu? au lipumba na kanda ya kusini na pemba? kute huko walipowapigia kura wapinzani waligawana na JK na margin ya tofauti ilikuwa ndigo sana kati ya wagombea lakini wapinzani hawakukubalika sehemu yote ya Tanzania. na sehemu walizoshinda wapinzani mbona ziko wazi na shamrashamra uliziona. wake up man acha kumislead watu kuwa huyo slaa wako alishinda. Binafsi si mwanaccm na hawajawahi kupata kura yangu lakini nina uhakika wa 100% kuwa JK alishinda.
 
Mweleweshe kikwete na sijui kama anaelewa lugha yeyote labda AKIJIKUTA YUMO NDANI YA CELL UKONGO NDIO statement ya kueleweka ita-click. Hizo safari za kwenda UN alikweleza lazima yeye haudhurie? Hawa donors wanatoa misaada ili kikwete apate kuona kila kijiji na miji midogo duniani kama sio ushamba wa bagamoyo nini? Acha uzumbe wa kutumia akili kufikiria, thats why watanzania wanatawaliwa kwa opinions za namna hii.

Don't be lazy to be critical thinking!


Naomba niwaeleweshe kidogo!.
Kila mwaka kuna mkutano wa UN mwezi wa tisa hivyo Kikwete anakuja USA kila mwezi wa tisa sasa balozi akawaomba dicota wachanganye mkutano na ubalozi ili badala ya kuwa mikutano miwili itakuwa mkutano mmoja!. Dicota wanafanya mkutano mmoja kila mwaka hivyo balozi akaomba wafanye mwezi wa tisa kwasababu viongozi wengi watakuwa hapa kwenye mkutano wa UN. Kwasababu mwaka huu ni miaka 50 ya Tanzania ndiyo maana wamekuja na hiyo ya miaka 50. Mimi binafsi sioni Tatizo hapa kwani Watanzania wengelipa pesa ya Kikwete kuja Marekani anyway. Vilevile sio vibaya kuongea na Watanzania
 
Hao DICOTA nao wameishiwa vilevile for the sake of your reputation please offer an invitation to someone else. Unless you are out of touch with the reality in Tanzania
 
Ongezeni Nyingine

"Kikwete=Dowans/Symbion"
"Tanzania Bila Kikwete Inawezekana"
"Kikwete=Barrick Gold"
"Ukicheka Na Kikwete Utakula Mabuha"
"Kikwete=Ben-Ali"
"Aid To Kikwete=Aid To His Corrupt Friends"
"Kikwete Must Go"
"Kikwete LOVE McDonalds, Not Ugali"
"We Need McDonalds in Tanzania To Save our TAX Money"
"Kikwete Love America Than His Own Country"
"DICOTA, CCM Corruption Wing"
"Kikwete Sold Tanzania"
"America, Take Kikwete, We Dont Want him Back"
"Kikwete Love Foreigners Than His Own People"
"Kikwete Has No Idea Why His Country Is Poor"
"Kikwete Is Traveling The World In Style, Yet Pregnant Women are Dying In Hospitals"
"All Your TAX Money To Tanzania, Bought His Son An Hummer"
 
Back
Top Bottom