Kikwete anatarajiwa kuwa Mgeni DICOTA 2011, Washington DC

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Tumesikia Kikwete anakwenda Marekani tena kusheherekea uhuru wa miaka 50 ya Tanzania mwishoni mwa mwezi huu. Hivi huyu mwanaccm hafahamu au hasomi nchi za marekani na donors wanazungumzia debt na deficit? Muda gani bado natafakari Kikwete alikaa kweli darasani au vitu gani wametumia kupata nafasi ya kuburuza watanzania kiasi hiki? Kinachosikitisha sana ni jinsi gani mipango ya kununua Watanzania wanaoishi Marekani inavyofanywa kwa nguvu na bidii. Jana nilikuwa nawasiliana na jamaa kwa email huko Marekani na anasema serikali kama kawaida wamefungua kitengo kingine chini ya Balozi wa Marekani, Mwanaid Maajar. Kitengo hiki kinatambulika kama 'dicota' dhumuni kubwa ni kuwaandikisha na kuwaorodhesha watanzania waliopo Marekani na kuwatumia kama wananchi wa Bagamoyo.

The Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA) in collaboration with The Embassy of the United Republic of Tanzania in the United States is organizing the third convention of Tanzanians in the American Diaspora, to be held in Washington, D.C, on September 22-25, 2011 at the Marriott Washington Dulles Airporthotel. The theme of the conference this year is "Tanzanians in the Diaspora after 50 years of independence". Attendees will include individuals with ties to or of Tanzanian descent, international organizations, government and business leaders from Tanzania and United States, nonprofit and NGO's. The highlight of this conference includes a keynote address by the President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete. The President has been invited and we are awaiting his response.
Tanzanians in the Diaspora after 50 years of Independence

Maswali mengi ya kumuuliza balozi na serikali yao hii, hivi uhuru siku hizi unasherekewa Marekani? Kazi ya ofisi ya balozi wa Tanzania nini? na majukumu ya dicota nini? kama sio ufisadi na deals za ccm? Kitu kibaya hapa ni wale wenye njaa wanaonekana wapo Tanzania na hata nje ya nchi, ukizingatia watu kama William wapo Marekani kutuabisha na inatosha kabisa. Kinachompeleka Kikwete Marekani nini wakati yeye nchi yake wananchi wanakufa bila ajira na chakula? Tunachosihi hapa ni haya, Kikwete akijitokeza Washington tunawaomba watanzania mlio na uchungu na Taifa lenu muulizeni constitution anaandika nani? Mbona Marekani inayompa nafasi yeye kusafiri kila siku mbona katiba haishikiliwi na Obama? Kitu kingine ni hiki 'Kikwete una-solution gani kwa ajili ya economy na ukosefu wa umeme Tanzania, zaidi ya deals za mafuta? Uchaguzi ulishinda vipi mbona maths hazi-machi na ushindi wako?

"Information is just on your finger tips, use it and be useful in your society"
 
Niliwahi kusoma hii habari somewhere (sikumbuki wapi) na wakati huo waandaji walisema kuwa mgeni rasmi 'anatarajiwa' kuwa Rais Kikwete lakini walikuwa hawaja-confirm. Niseme tu kwamba binafsi niliamini rais asingeenda na badala yake angetuma kiongozi mwingine i.e Waziri wa mambo ya nchi za nje au hata katibu tarafa kutoka mahali popote Tanzania bara. Sina hakina safu ya washauri wa Rais wetu ikoje lakini hili linanipa shida sana, how can our president get this low? Naomba nieleweke sidharau ndugu zetu huko Marekani waliomwalika lakini Rais wa nchi? what next? mgeni rasmi kitchen party?

Sasa hivi analaumiwa kwa kutoonesha leadership kwenye mambo ya msingi ndani ya chama na serikalini na nilidhani rais angejikita zaidi kurekebisha mambo ya kitaifa lakini sio kusafiri kwa mambo yasiyo na tija kwa taifa.
 
kwa vile kuna maandamano yanaandaliwa ya kumpinga...na kwa vile msanii wetu ni mpenda sifa, naamini kabisa kwa vile anajua 'ujiko' wake utaingizwa doa na hayo maandamano ya kumpinga...Muungwana hatofika...kwa vile atakuwa kwenye shughuli nyingine nyeti za ujenzi wa Taifa...huenda atakuwa swaziland wakati huo. jiandaeni kwa last minute cancellation...kama ilivyo kawaida yake...
 
kama hao DACOTA wamemwalika and at the same time wanataka kuandamana huko kwa ajili ya huyu j!!!!..any way wacha nisubiri
 
Akapumzike tu kwani akiwa hapa home anafanya nini, yeye yuko kimya tu hana time na shida za bongo, fly well.
 
Tumesikia Kikwete anakwenda Marekani tena kusheherekea uhuru wa miaka 50 ya Tanzania mwishoni mwa mwezi huu. Hivi huyu mwanaccm hafahamu au hasomi nchi za marekani na donors wanazungumzia debt na deficit? Muda gani bado natafakari Kikwete alikaa kweli darasani au vitu gani wametumia kupata nafasi ya kuburuza watanzania kiasi hiki? Kinachosikitisha sana ni jinsi gani mipango ya kununua Watanzania wanaoishi Marekani inavyofanywa kwa nguvu na bidii. Jana nilikuwa nawasiliana na jamaa kwa email huko Marekani na anasema serikali kama kawaida wamefungua kitengo kingine chini ya Balozi wa Marekani, Mwanaid Maajar. Kitengo hiki kinatambulika kama 'dicota' dhumuni kubwa ni kuwaandikisha na kuwaorodhesha watanzania waliopo Marekani na kuwatumia kama wananchi wa Bagamoyo.

Maswali mengi ya kumuuliza balozi na serikali yao hii, hivi uhuru siku hizi unasherekewa Marekani? Kazi ya ofisi ya balozi wa Tanzania nini? na majukumu ya dicota nini? kama sio ufisadi na deals za ccm? Kitu kibaya hapa ni wale wenye njaa wanaonekana wapo Tanzania na hata nje ya nchi, ukizingatia watu kama William wapo Marekani kutuabisha na inatosha kabisa. Kinachompeleka Kikwete Marekani nini wakati yeye nchi yake wananchi wanakufa bila ajira na chakula? Tunachosihi hapa ni haya, Kikwete akijitokeza Washington tunawaomba watanzania mlio na uchungu na Taifa lenu muulizeni constitution anaandika nani? Mbona Marekani inayompa nafasi yeye kusafiri kila siku mbona katiba haishikiliwi na Obama? Kitu kingine ni hiki 'Kikwete una-solution gani kwa ajili ya economy na ukosefu wa umeme Tanzania, zaidi ya deals za mafuta? Uchaguzi ulishinda vipi mbona maths hazi-machi na ushindi wako?

"Information is just on your finger tips, use it and be useful in your society"
mmesikia wapi tena kuwa rais anakwenda USA? wakati qoutation uliyotuwekea inasema wanasubiria response yake
 
wewe unauliza uchaguzi upi ambao JK hakushinda? unamaanisha nani alishinda, slaa kwa kura za kaskazini na kanda ya ziwa tu? au lipumba na kanda ya kusini na pemba? kute huko walipowapigia kura wapinzani waligawana na JK na margin ya tofauti ilikuwa ndigo sana kati ya wagombea lakini wapinzani hawakukubalika sehemu yote ya Tanzania. na sehemu walizoshinda wapinzani mbona ziko wazi na shamrashamra uliziona. wake up man acha kumislead watu kuwa huyo slaa wako alishinda. Binafsi si mwanaccm na hawajawahi kupata kura yangu lakini nina uhakika wa 100% kuwa JK alishinda.
 
Niliwahi kusoma hii habari somewhere (sikumbuki wapi) na wakati huo waandaji walisema kuwa mgeni rasmi 'anatarajiwa' kuwa Rais Kikwete lakini walikuwa hawaja-confirm. Niseme tu kwamba binafsi niliamini rais asingeenda na badala yake angetuma kiongozi mwingine i.e Waziri wa mambo ya nchi za nje au hata katibu tarafa kutoka mahali popote Tanzania bara. Sina hakina safu ya washauri wa Rais wetu ikoje lakini hili linanipa shida sana, how can our president get this low? Naomba nieleweke sidharau ndugu zetu huko Marekani waliomwalika lakini Rais wa nchi? what next? mgeni rasmi kitchen party?

Sasa hivi analaumiwa kwa kutoonesha leadership kwenye mambo ya msingi ndani ya chama na serikalini na nilidhani rais angejikita zaidi kurekebisha mambo ya kitaifa lakini sio kusafiri kwa mambo yasiyo na tija kwa taifa.
mkuu naungana na wewe kuwa hata mimi ninawasiwasi na panelist wake wa kumshauri huyu jamaa. Huwa nashangaa sana ninapoona eti rais amekuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa mziki wa injili. hivi kweli rais ni mtu wa kwenda kuzindua mziki? What is hell is this? Agghhhh!!!!!!!!!
 
"wapo wanaobeza safari zangu, nasema hivi msiwasikilize bila hz safari za nje wa'tz wengi wangekufa njaa". Jk
 
Naomba niwaeleweshe kidogo!.
Kila mwaka kuna mkutano wa UN mwezi wa tisa hivyo Kikwete anakuja USA kila mwezi wa tisa sasa balozi akawaomba dicota wachanganye mkutano na ubalozi ili badala ya kuwa mikutano miwili itakuwa mkutano mmoja!. Dicota wanafanya mkutano mmoja kila mwaka hivyo balozi akaomba wafanye mwezi wa tisa kwasababu viongozi wengi watakuwa hapa kwenye mkutano wa UN. Kwasababu mwaka huu ni miaka 50 ya Tanzania ndiyo maana wamekuja na hiyo ya miaka 50. Mimi binafsi sioni Tatizo hapa kwani Watanzania wengelipa pesa ya Kikwete kuja Marekani anyway. Vilevile sio vibaya kuongea na Watanzania
 
Kama tumeshindwa kumtimua huyu mtalii basi Mungu si aangushe hiyo ndege yake kule baharini ili tuanze moja!!!
 
mkuu naungana na wewe kuwa hata mimi ninawasiwasi na panelist wake wa kumshauri huyu jamaa. Huwa nashangaa sana ninapoona eti rais amekuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa mziki wa injili. hivi kweli rais ni mtu wa kwenda kuzindua mziki? What is hell is this? Agghhhh!!!!!!!!!

ha ha ha na ile anayo enda kuzindua madrasa ya watoto msasani?? huyo ndo JK the Traveller..mpssxxxxyyy
 
Back
Top Bottom