Kikwete anapiga simu kuomba kura!

Edgartz

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
241
22
Anasema anaomba nimchague mabaya yote aliyofanya atayarekebisha vipi inamaana watu wote mmepigiwa simu? Nimepigiwa kwa namba hii:+255754777777
 
Hapati kitu hapa.

Hiyo ni typical JK phone number.

Zamani nilikuwa nayo 0787 77 77 77
 
Kupigiwa simu mmeongea naye na wewe kumuuliza maswali yako au ni "robocall" yaani ni one way communication?
 
Yeye si ndiyo kaanza inatakiwa amwagiwe mimeseji ya just "hapana mitano tuliyokupa mwanzo inatosha"
 
Anasema anaomba nimchague mabaya yote aliyofanya atayarekebisha vipi inamaana watu wote mmepigiwa simu? Nimepigiwa kwa namba hii:+255754777777

Kampeni za kisayansi nadhani tutapata ule ushindi wa kishindo
 
Kupigiwa simu mmeongea naye na wewe kumuuliza maswali yako au ni "robocall" yaani ni one way communication?

Nazani ni robocall baada ya kupokea simu nimeambiwa ongea na mhesimiwa nikaunganishwa akaanza kuongea kikwete ila hakupi nafasi ya kuuliza swali lolote baada ya kumaliza kuniomba nimpigie kura akasema asante kunisikiliza simu ikakatwa!
 
Halafu nilisahau> umesharudi toka Malawi kwa ajili ya uchaguzi?
 
Nazani ni robocall baada ya kupokea simu nimeambiwa ongea na mhesimiwa nikaunganishwa akaanza kuongea kikwete ila hakupi nafasi ya kuuliza swali lolote baada ya kumaliza kuniomba nimpigie kura akasema asante kunisikiliza simu ikakatwa!

Guys thats staff is recorded operated by voda calling centre[customer services]....from huyo anayekuambia ongea na muheshimiwa to jk voice all that is pre recorded and IT operated...mzee technology hiyo!!..yeye muda huo alikuwa anafanyiwa massagge..
 
Hapati kitu hapa.

Hiyo ni typical JK phone number.

Zamani nilikuwa nayo 0787 77 77 77

ni kweli hata mimi jana jioni kanipigia, ni ya kurekodiwa maana wakati inaongea muda huo huo ikawa inaita kwa mwenzangu naye akasikia maneno yaleyale. Ndiyo namba ni voda ya 54 then zote 7
 
Rafiki yangu jana alitumiwa sms imeonyesha jina la mtumaji "jakaya kikwete inasema naomba kura yako"
Mshikaji alipomaliza tu kuisoma akai delete leo kampa kura yake Dk wa u kweli Slaa:
 
Mimi pia nilipigiwa, yule dada aliponiunganisha na niliposikia "mimi ni JK" nikakata, wala sikuacha amalize kuongoea. Kwanza siko Tanzania, hata ningekuwa nipo home nisingempigia.
 
Back
Top Bottom