Kikwete anapiga simu kuomba kura!

umbea mtupu

Ni kweli kabisa hata mimi nilipokea simu hiyo jana, lakini wakati huo namuona yuko Jangwani live kwenye TV, nikajua ni robocalll, sikumuacha hata amalize nilikata simu kwa hasira kubwa!!

From number +255 754 777 777
 
The dude is desperate ! But you know what, its too late and people have realized his tricks. Why all this longing to go back to Magogoni?

VICTORY FOR DR SLAA is imminent. I just got news from Nzega kuwa hata huko people are saying no to his administration and they vow to vote him out!!!!!!!

!!!!!!!!GO DR SLAA GO!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom