Kikwete anamfahamu Al Adawi!

Tuletee ya kwake alivyokanyaga tanzania ili tufananishe

_40194912_dewji203ok.jpg
 
ni kweli tulisikia RIZ 1 amesafiri kwenda Dubai tena kwa ulinzi mkali kama mtoto wa Ghadafi vile..lol kumbe alikuwa anakwenda kumleta huyo msaniii
anything can be possible in tz
Sio mhusika kabisa huo ni mchoro JK, EL, RA, Ngereja na ridhiwani walikuwa wanaratafuta njia namna ya kuuwasha Ridhiwani amemfuata Dubai na kumleta, hao wahariri ni mataahira na wao watakaaje kwenye press conference na mmliki ambaye anakataa kupigwa picha siwangeondoka.

Hii serikali ya kikwete imeshatupima nakutuona watanzania hatujitambui hatuna mbele wala nyuma wanaweza wakasema na kufanya lolote na umma usifanye kitu ndio maana Raisi wa nchi anaweza akashirikiana na mamafia kuangamiza nchi
 
Mkwere anajua kabisa Matanganyika ni maoga ya Mabomu ngoja wamlete General Kabisa ili mkae kimya maana mkisema jamaa wanaleta Makombora....hahaha Bongo tu waoga wanatutishia Mwanajeshi duh...Mkwere kweli hamnazo....

Hahahahaaa, kweli Mkwere na Wenzake ni Normar. Yani baada ya kuona watu walivyokimbia kuokoa maisha yao Gongolamboto basi wakajua watu waoga. Halafu Jamaa kakimbia eti kwenye mkutano ili akija tukimuuliza aseme hata sijawahi kumwona. Mabomu sasa siyo issue tena Arusha nasikia wamepigwa tena mabomu leo maana yake wanaanza kuyazoea. Nashauri polisi waanze na RISASI kabisa ili siku za ukombozi zikifika watu watanue vifua zipite. HAWAJIFUNZI LIBYA TAMKO LA VITISHO LIMETOLEWA ILA WATU NDO KWANZA WANASONGA MBELE MPAKA KIELEWEKE.
 
Duh! Kama huyu ni Al Adawi basi mimi namfahamu na ninajua anapopatikana! Ngoja nikampige picha kama atakataa!

JAMANI HUYU SI YULE ALIYEWAHI KUWA KIONGOZI KWENYE MOJA YA CLUB ZETU AZA SOKO HAPA BONGO????? Niambieni sababu nimeshikwa na hasira mnoo! kama ndiyee.
 
Hivi Haya Mambo ya Kina Balali kutowekwa habari zao watanzania lini tutakomalia?Eti jamaa hataki kupigwa picha wala TV hataki waonyeshe alivyo maana kila kitu kitakuwa openeed, ****** yao yataanikwa kina Kikwete na familia yake, Uongo mweupe, Sitaamini na sitaki kuamini kama Balali alikufaga, the same story like hii hapa...Nazidi kuichukia CCM

:A S 13::A S 13: nakuunga mkono...... huyu ni kanyanga........... Balali hakufa wewe.......
 
Statement yote ameandika Rostam Aziz. Seriously wanadhani watanzania wapumbavu hivi...ati hataki kupigwa picha...
 
Tanzania Looks to Model India's Cotton Industry

January 28, 2010
Daily News (Tanzania)
Finnigan Wa Simbeye

Value addition through the manufacture of clothes using handlooms should be the top priority for Tanzanian cotton stakeholders - growers, buyers and ginners, President Jakaya Kikwete has advised.

"Most of the Indian clothes are actually done by families of cotton farmers," said President Kikwete, after visiting Al Adawi Company Limited's ginnery and cotton farms during his recent tour of Maswa District in Shinyanga Region.

He implored local cotton growers to emulate their Indian counterparts, saying that exporting raw cotton was not profitable due to fluctuating commodity prices in the world market. Unlike unstable prices of unprocessed goods, finished products command higher and more stable prices.

During his tour of Maswa District, President Kikwete handed over five Massey Ferguson tractors and 10 power tillers to smallholder cotton farmers in the district, courtesy of a loan facility by Al Adawi Company Limited.

Al Adawi said his company, which bought a ginnery from the American agro firm Cargill last year, plans to build the capacity of cotton farmers in Shinyanga Region, by providing them with modern farming skills, tractors, power tillers and farm inputs.

Al Adawi said his company plans to supply farmers with 100 tractors by the end of next year, with funding from the Ministry of Agriculture and Food Security's Agro-Input Fund. The firm also plans to install a thread-making plant and provide handlooms on loan to farmers for cloth making.

My Take:

1. Huyu jamaa alitajwa na Ngeleja kama mmiliki wa Dowans almost 2 weeks earlier kabla JK hajaruka kimanga kutomfahamu mmiliki wa Dowans. Lakini it turns out kumbe JK amewahi kukutana na huyu jamaa ana kwa na in official terms. Hii sintomfahamu inazua maswali mengi kwamba JK kuna kitu anakificha.

2. Hii habari iliandikwa kwenye gazeti la serikali Daily news, sasa sijui ni kwa nini waandishi wetu hawatukumbushi.

3. Je hii ruka ruka ya JK sio uthibitisho wa jarida la African intelligence kuhusu Al Adawi kumpa JK $2 million kwa kampeni 2005.

Source: Bofya hapa
 
JK analo safari hii, ndo uthibitisho wenyewe huo wa African Intelligence,hivi kuna mtu alimuamini JK alivyosema hamfahamu mmiliki wa DOWANS?:A S 13:
 
Inawezekana wapo waliomuamini, lakini sasa mwenyewe kajitokeza na laiwahi kuonana na Jk uso kwa uso just last year!!!
 
JK kesha kosa sifa ya kuongoza, afanye haraka kuondoka magogoni kabla nguvu ya umma haijamuadabisha
 
Tanzania Looks to Model India's Cotton Industry

January 28, 2010
Daily News (Tanzania)
Finnigan Wa Simbeye

Value addition through the manufacture of clothes using handlooms should be the top priority for Tanzanian cotton stakeholders - growers, buyers and ginners, President Jakaya Kikwete has advised.

"Most of the Indian clothes are actually done by families of cotton farmers," said President Kikwete, after visiting Al Adawi Company Limited's ginnery and cotton farms during his recent tour of Maswa District in Shinyanga Region.

He implored local cotton growers to emulate their Indian counterparts, saying that exporting raw cotton was not profitable due to fluctuating commodity prices in the world market. Unlike unstable prices of unprocessed goods, finished products command higher and more stable prices.

During his tour of Maswa District, President Kikwete handed over five Massey Ferguson tractors and 10 power tillers to smallholder cotton farmers in the district, courtesy of a loan facility by Al Adawi Company Limited.

Al Adawi said his company, which bought a ginnery from the American agro firm Cargill last year, plans to build the capacity of cotton farmers in Shinyanga Region, by providing them with modern farming skills, tractors, power tillers and farm inputs.

Al Adawi said his company plans to supply farmers with 100 tractors by the end of next year, with funding from the Ministry of Agriculture and Food Security's Agro-Input Fund. The firm also plans to install a thread-making plant and provide handlooms on loan to farmers for cloth making.

My Take:

1. Huyu jamaa alitajwa na Ngeleja kama mmiliki wa Dowans almost 2 weeks earlier kabla JK hajaruka kimanga kutomfahamu mmiliki wa Dowans. Lakini it turns out kumbe JK amewahi kukutana na huyu jamaa ana kwa na in official terms. Hii sintomfahamu inazua maswali mengi kwamba JK kuna kitu anakificha.

2. Hii habari iliandikwa kwenye gazeti la serikali Daily news, sasa sijui ni kwa nini waandishi wetu hawatukumbushi.

3. Je hii ruka ruka ya JK sio uthibitisho wa jarida la African intelligence kuhusu Al Adawi kumpa JK $2 million kwa kampeni 2005.

Source: Bofya hapa

Inauma inasikitisha sana, tuombe yatokee ya Tunisia, Egypt na sasa Libya....!
 
kazi kweli kweli...tuna hiitaji kiongozi makini....
anaweza kusema hakutambilushwa , kwa hiyo hakujua huyo jamaa ni nani.
 
lolz bwahahaha JK .....

kibaya zaidi hao makanjanja tunao humu ndani//
 
Back
Top Bottom