Kikwete anamfahamu Al Adawi!

Kwa sinema hii ambayo mimi naona ingefaa kuitwa 'Dowans and the fool Tanzanians' imenithibitishia kuwa matatizo yetu mengi ni ya kutengenezwa na viongozi wetu wasiokuwa waadilifu...wasiokuwa na nia ya dhati ya kutatua shida za wananchi bali zao, za familia zao na marafiki zao kwa njia ya ubabaishaji.
 


mafisadi mkome hii sinema ya hivi sasa juu ya dowans laasivyo
tukaporomoshe 'mi-wikileaks' zake hapa mpaka mjisikie kufakufa hivi!!!

hawa wamiliki wa dowans wa kukodi wala hatudanganyiki!! Lowassa na rostam azizi, kaundeni mpango mwingine; huu hapa tayari umeanguka kwa pua.

Na mkijaribu kubisha basi tutaporomosha ushahidi kama mvua hapa kuliko hata ya wikileaks mpaka mshangae wenyewe. Naona bora mkasimamishe hii sinema ya huyo msaudia aliyeletwa nchini na ridhiwani kikwete tayari na makabrasha yote bandia, kabla hamjapata kuabika zaidi!!!!​

poromosha tafadhali. Asante lete ukweli
 
Aaaggr! Mi hajaniingia akilini kabisa tangu nimenyaka habari zake.
Kama akili hatuna hata macho hayaoni!!!.
 
nimeamini sasa kweli mtanzania hadanganyiki hovyo hovyo.... watu wapo macho sana ... i love this kind of exciting inquisition and investigative analysis
 
Jamani unganisheni Mambo mpate uongo kirahisi!!!!!!!!!!!!!1
Ridhiwani alidakwa katika msafara wa kiserikali akienda Uarabuni [hiyo leak lazima inahisusisha wanaojiita interijensia maana lazima hivi sasa ndani mwao hawaelewani "kuna wenye uchungu na nchi na wale walonunuliwa na R.A]. Wiki mbili zimepita jamaa ameibuka na story ya umiliki. wakati huu anajiita yu peke yake! hataki kupigwa picha na waanandishi wanatii!!!!!!!!!1 Je tutafahamu vipi akuwazuia wasiseme kuwa yeye si mmiliki?!! kama alikiri mle ndani kuwa yeye si mmiliki halafu akawazuia waandishi wasiseme hayo!!!
JAMAA SIYO MMLIMIKI R.A KAKAMATA MWARABU MMOJA PALE KARIAKOO AU MBURUSHI MMOJA KAMFANYIA SCRUB, KAMVALISHA KANZU, KAITA WAANDISHI RAFIKI ZAKE NA JAMAA AKAPIGA KINUBI CHA UMILIKI!!
 
Ile pichaniloiona hapa jf nimehisi ni tofauti na nikoiona kupitia google images!

HII HAPA YA UKWELI KABISA..........

in_news1.jpg
 
<p>
HII HAPA YA UKWELI KABISA..........</p>
<p>&nbsp;</p>
<p><img src="http://www.oeronline.com/php/2008_may/in_news1.jpg" border="0" alt="" />
</p>
<p>&nbsp;</p>
Ahsante Mkuu,
Kama picha hii ndo ya mmiliki wa Dowans, basi niliyemwona Movempick juzi baada ya kuongea na waandishi si huyu! AKAMATWE MARA MOJA!!!
 
Serikali ituambie kweli kuhusu uhalali wa huyu dowans, vinginevyo ikijakubainika kuwa alikuwa fake uhalali wa serikali kuendelea kuongoza utakuwa questionable
 
me wala huya al nani cjui hajanichosha kama hawa wahariri wetu..!! Mtu aitishe press conference afu agome kupigwa picha na wao bado wanaendelea kumsikiliza...!! Au alikua anagawa hela nini kiukweli me sipati picha hapa..!! Na kama ye ni mmiliki halali why agome kupigwa picha?? Im sure hata osama akija bongo hawezi kataa kupigwa picha why this fashist agome?? :blah:

mpwa nilize mie ogopa hawa so called waandishi wa habar..tumekuwa na mikutano ya wafanyakazi na mabosi kulalamikia matumizi mabaaya..wakimaliza wanapewa bahasha ambayo zianfungwa na secretary wa bossi siku mmoja akamlalia ikawa mwisho wa habari wakati nyie mnaenda kusikiliza wao wamefungiwa alfu 40 kila mmojawalikuwa 15..usiulize wapi nakupa hao ndiowaandishiw a habaari usishangae akawaita tena kempnsiki wakaja na """"""kamera zetu zimeshindwa kabisa ukimpiga zinatoka kivuli cha giza""hao ndio waandishi
 
Mtemakuni, ni kwamba wanadai hata hao wahariri walichaguliwa wale ambao wangeendana na matakwa yao, sidhani kama angeenda side kubenea angeweza kubali kutoka bila picha. Watakuwa waliwaruhusu wale wa uhuru media tu!
 
waandishi tz wengi hawajui maadili ya kazi zao itakuwaje wasimpinge hata picha? aliyemuonyesha waadishi ni nani? na hao polisi wanao mruhusu kuingia wanawajibu wa kumkamata lasivyo hawako kwa masirahi ya taifa. na hao waliowasha mitambo nani amewaruhusu kuiwasha hiyo mitambo? na kama kesi iko mahakamani sheria inasemaje? kweli tz hakuna upungufu wa kufikiria wa kila nyanja kuanzia juu mpaka chini.
 
Changa la macho mtakuja fumbua macho jamaa kesha chukua chake kasepa.

Inasemekana amefuata cheki yake ya mabilioni ya dola za kimarekani.

maana inabidi aisaini kbla ya kuitumbukiza benki, tehteh

Swali> Mr. prezidenti is it true?
Jibu> teh teh teh don't listen to radio mbao teh teh

hahahahha ndo alizokataa mkuu hizi!
 
Kwa mdadisi yeyote ziara ya anayejihita mmiliki wa Dowans Brig.Gen.Al Adawi inazua maswali mengi kuliko majibu; kwanza kwanini hakutaka kupigwa picha?

Pili katika hali ya kawaida R.A kama mwakilishi wake ndiye mwenyeji wake, hivyo alitakiwa awepo katika mkutano wake na wahandishi wa habari kwaajili ya kumtambulisha, inaonekana hilo halikufanyika.

Tatu ameingia tu na mtambo mmoja wa Dowans ukawashwa. Haiwezekanikuwashwa huko kwa mtambo huo ukatokana na mashauriano ya siku moja.

Inavyoelekea mipango yote tayari ilikwisha andaliwa, haya yanayotendeka sasa ni kiini macho, ndiyo maana kuna tetesi ya kwamba hata huyo anayejihita Brig. Gen. Al-Adawi uenda hasiwe mwenyewe bali kivuli chake.

Hili ni changa la macho...JK alikiri mbele ya kadamnasi kwamba hamjui mmiliki wa dowans...na siku zote walisema hawamtambui mmiliki, na huyo mwarabu aliyekuja anadai kuwa mchongo wa dowans alipewa na rafiki yake wa miaka mingi Mr. Rostam, na dowans aliinunua kutoka richmond ambayo ilidaiwa kuwa kampuni hewa...swali linakuja je, kwa nini huyo fisadi rostam hakumtaja mmiliki siku zote? kwa hiyo kama huyo mwarabu ndiye mmiliki so anamfahamu mmiliki wa richmond...amtaje. Alafu lingine siku zote alikuwa wapi anajitokeza leo baada ya kuona wananchi wamekuwa wakali....TUTAMCHOMA MOTO...ARUDI KWAO UPESI
 
Sinema ya wakuu wa kaya in the making...hiyo ndio Tanzania ni zaidi ya uijuavyo. Ila habari njema ni kuwa watanzania wameamka, muda utawahukumu wakuu wa kaya. aibu aibu kuwadanganya wananchi mchana kweupe.
 
Sio mhusika kabisa huo ni mchoro JK, EL, RA, Ngereja na ridhiwani walikuwa wanaratafuta njia namna ya kuuwasha Ridhiwani amemfuata Dubai na kumleta, hao wahariri ni mataahira na wao watakaaje kwenye press conference na mmliki ambaye anakataa kupigwa picha siwangeondoka.

Hii serikali ya kikwete imeshatupima nakutuona watanzania hatujitambui hatuna mbele wala nyuma wanaweza wakasema na kufanya lolote na umma usifanye kitu ndio maana Raisi wa nchi anaweza akashirikiana na mamafia kuangamiza nchi
.

Froida, nadhani hapo umewaonea wahariri waliomsikiliza. Maelezo kwamba Al Adawi amekataa kupigwa picha za magazeti na televisheni ni muhimu sana kwetu, yametusaidia kujua kuwa mtu huyo si mwema kwetu na kutuongezea dukuduku la kujua zaidi kilichojificha ndani ya Dowans, kuliko kama Picha yake ingewekwa hadharani ikiambatana na maelezo yake ya kujifagilia na kujionyesha kuwa ana huruma na Tanzania...Huenda kuna watu wangeanimi. lakini sasa hakuna anayeamini tena kuwa mmiliki sio RA.
 
jamani hivi hawa mafisadi kwa nini wanatufanya sisi kama watoto wadogo. hii nchi mbona inakuwa ya kihuni hivi?. hivi RA atatuchezea akili zetu hadi lini?. kwa nini huyo mmiliki huyu adawi wa kupikwa hakufikia kwa rafiki yake RA ili waje siku ya kujitambulisha?
 
Haijulikani ndugu yangu na ndiyo sababu akachagua kundi la waandishi wa habari wachache ili wamuulize maswali. Huyu mtu haishi Tanzania kawafahamu vipi waandishi wa habari wa kuwaita katika hiyo news conference yake ili wamuulize maswali? Ni mchoro mtupu huu lakini Watanzania tumeshaushtukia.....na ni lazima tuhakikishe hapati hata senti moja.


SAsa naelewa ni kwa nini dogo Roma anasema hataki siasa za kitoto wakati watu tunawahi kubalehe.....Jamaa sio mtanzania lakini anajua hadi kundi la waandishi wa habari wa kuwaita

Hii ni cooking ya kutisha...jamaa wanapika mpaka inajulikana wamepika...anyway, serikali ya wapishi, mpaka kwenye wlimu zao
 
Back
Top Bottom