Kikwete amwiga Ahmedinejad

Mbona watu mnakimbilia kujibu kwamba hawafanani? Fungueni attachment chini ya picha mtaona ni kwa lipi wanafanana madikteta hawa wawili. Na labda mwombeni radhi aliyebandika post kwa kumponda kimakosa.
Asante Omukuru, ni bahati mbaya sana hiyo ndiyo hulka ya Watanzania - si ajabu walimpa Kikwete kipindi cha pili baada ya kupata sufuri awamu ya kwanza. Wanamlaumu mleta mada lakini hawajihangaishi hata kufungua hizo attachments na kuona kivipi Kikwete wetu na Ahmedinejab wamefanana ! Hakika inasikitisha !
NB: Hebu fungueni hizo picha sita zilizoambatanishwa muone wenyewe msisubiri kutafuniwa kila kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom