chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,115
Ndugu, kwa kweli sijui! Baada ya kupigwa dafrao katika siasa, sujapata habari zake. Siasa hizi bwana! Zimetupotezea Mhandisi wa nguvu! Labda kama kuwa mwanajamii yeyote mwenye taarifa za habari ya Prof. Mgombelo azimwage jamvini, tafazai!Profesa Mgombelo yuko wapi siku hizi?