Mbowe hana elimu yoyote amepewa zawadi ya uenyekiti wa chadema, msimlinganishe na profesor mwandosya, kichwa
We kila kukicha uishikumtaja Mbowe. Ndio tujue ni jinsi gani mnavyokosa raha na maccm yenu
Mbowe hana elimu yoyote amepewa zawadi ya uenyekiti wa chadema, msimlinganishe na profesor mwandosya, kichwa
Wametoka mbali sana, 2005 baada ya kubaki kwenye tatu bora, Mwandosya, Salim na Kikwete Mh. Sumaye na wapambe wake walijitahidi sana kumsahawishi Mwandosya ajitoe ili waongeze Nguvu kwa Salim ili kumshinda JK, mwandosya aligoma
kwa mtindo huu! siku chuo kikifunguliwa tanga professa maji marefu anaweza kuwa mkuu
Hahahaha! Na hasa kikiwa chuo cha sayansi za asili kama kusafiri kwa ungo, nk.
Al Noor ni mkuu wa Chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA)
Huyu Al Noor Kassum ni nan kama kuna mtu anamfaham msaada please
Hahahahaha....kwa mtindo huu! siku chuo kikifunguliwa tanga professa maji marefu anaweza kuwa mkuu
Lakini 'mkuu wa chuo' (Chancellor) ni ceremonial zaidi. Nadhani haina uhusiano sana na uprofesa wake na pengine hata utumia kwa maana ya kufundisha hapo MUST.Mwandosya ni msomi;
ni vizuri akatumie taaluma yake
kuliko kukaa kungojea warsha
Lakini 'mkuu wa chuo' (Chancellor) ni ceremonial zaidi. Nadhani haina uhusiano sana na uprofesa wake na pengine hata utumia kwa maana ya kufundisha hapo MUST.
wabongo hatuishi maneno, hamjui kama mwinyi ni mtaalam wa kiswahili na elimu ya dini?
haya ndio madhara ya akili ya kukodi ref. ifweero
Khaa!! Wewe vipi?? Amesema ni pro wa ukweli.Huyo mwandosya na mamvi yake hayo ameifanyia nn nchi. alipokuwa wizara ya maji miradi yote ya maji alikua anaipeleka kwao wakati kuna maeneo kame kibao watu na mifugo wanateseka.eti pro wa ukweli shen.y taip