Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,609
Haya bana....
Msee wa Mchambawima,
In fwact mfano ulotoa ni mzuri sana yaani, una fanana na ule wa Lowassa wa kasungura. Ina onyesha jinsi gani "watu" walivyokomaa kisiasa!!. Huwezi kutumia mifano ya Ki-PhD, ukitegemea kwamba mtanzania wa kawaida atakuelewa!!!......ebo wanaodhani mfano ule ni kichekesho watoe yao basi bana, kwi kwi kwi!.
This is a lot of fun, yaani zaidi hata ya kwenda "madebeni" kupigia misele milupo ya kitasha.