Kikwete alitumia vigezo gani kwenda UoD na Rais Museveni,Mwinyi na EDWARD LOWASSA?

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
Naona ajabu wakati mwingine hii nchi yetu. Ndiyo maana I swear I didn't like him 2005! I looked into his eyes and I knew the Presidency ni post kubwa sana kwake. Haikumfaa na bado haimfai! Ndiyo maana ombwe la uongozi wa serikali linaonekana hata na mtoto wa shule! Jinsi alivyompa Nape majukumu ya chama chake na anavyoyatekeleza.. Hafit kiuongozi.Yuko kama mlinzi wa nyumba.Kuna wanaompigia honi,afungue geti na kufunga. Ama kumtuma akakukununulie hata vocha!
 
Mbona wapo wengi waliopitia hapo na wana heshima zao kubwa tu? Kwanini EL? Basi kama alivyowekwa pembeni Sitta kwenye Uspika,angemchukua mwanamama yeyote basi kama palikosekana mtu!
 
Those are friends EL alishasema na hawajakutana barabarani. Sio tatizo kwake kuwaza kuwa mtu wa kuambatana nae ni EL
 
Back
Top Bottom