Kikwete alipokwenda kupata mibaraka

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Tiini mamlaka zilizowekwa na Mungu si zilizowekwa na wanadamu (NEC)

77413530.jpg
 
Bibilia inatuambia tutii mamlaka katika mambo mema na yasyo dhambi!!!
Mungu anatuambia tutii mamlaka katika kuepuka dhambi!!!
Kama mamlaka inaiba kura hiyo tuanaweka pembene!!
Mungu anataka tuwaheshimu baba na mama katika mambo mema!!
Sasa kama baba anataka kumuzini binti yake basi binti huyo anapaswa kukaidi amri hiyo!!
 
Bibli inawataka watu watii mamlaka katika mambo yaliyo haki na siyo wizi au utumwa au ukandamizaji!!!!
Mungu anataka tuwaheshimu wazazi katika mambo yaliyo mema na siyo dhambi!!
Mussa alilelewa na farao na kusomeshwa na farao (baba mlezi wake) lakini mungu alimpa mussa kazi ya kushambulia farao na kuwakomboa waislaeli katika utumwa mkubwa kwa mapigo kumi!!!

Watanzani wote tumesomeshwa na ccm na serikali yake lakini sasa tupo katika utumwa wa ccm unao ongozwa na rostamu aziz.!!!

Hatuna haki katika nchi yetu!!!

Rostamu na kundi lake wanatunyonya sana!!!

Sasa mungu kaanzisha mapigo makubwa kwenye serikali ya kikwete kung'oka ni rlazima!!!

Hatuwezi kutii serikali iliyoingia kwa nguvu madarakani!!! Kikwete kaiba kura!!!

Kikwete mhusika wa dowans, kagoda,richmon n.k!!!

Kumbuka wizi ni dhambi !!!

Yusufu makamba ana ufinyu wa bible analinda mafisadi!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom