jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,522
- Thread starter
- #61
no!wame acknowledge kuwa yuko marekani!ila the exact location haiwezi kutolewa kwa ajili ya usalama wake!mushi,
tuachane na siasa za common sense na twende na facts. Common sense inatutuma kuamini kuwa ubalozi wa marekani unafanya kila liwalo kumrudisha ballali ila tu wanasubiri maombi ya jk. Sasa nikuulize, mbona walikimbilia kusema kuwa wamemfutia ballali visa huku wakijua hiyo ni technicality ya kudanganya toto? Kitu alichofanyiwa ni kuwa kwa kupotedha wadhifa wake, ballali amepoteza diplomatic passport na privilege zote including going in and out of the us as a urt official. That's it.
Lakini, ubalozi huohuo haukusema kuwa ballali ana hadhi ya ukaazi wa kudumu (permanent residency) hivyo kupoteza kwake diplomatic passport, haimzuii kuingia na kutoka (au kuishi marekani). Au hata kama hakuwa nayo hiyo permanent residency, bado angeweza kuomba visa (kama mtu binafsi)na kuna nafasi kuwa angeipata (kwani hajashtakiwa rasmi na serikali). Hivyo basi, tuwe makini katika kushabikia mambo ili tusije tukaonekana kuwa kwa vile mzungu amesema jambo fulani, basi yeye ndio sahihi. As far as i am concerned, ubalozi wa marekani nao unacheza siasa (kwa namna kama ya serikali yetu na wala wasitake kutupia lawama serikali ya jk pekee. Kwa nini balozi green alipoulizwa mahali alipo ballali akayeyusha kwa kusema kuwa sheria za marekani hazimruhusu kusema nyendo za watu walioko nchini mwao? Wamarekani na law enforcement agencies zao kweli hawajui ballali alipo?
Suala la pili la visa ama green card..
Hilo halina nguvu kwasababu serikali hizi mbili zina makubaliano ya kukabidhiana watuhumiwa regardless ya citizenshipi status yao!sijasema kuwa mzungu ndio yuko right zaidi..ila this time wao ndio wametuambia mahali balali alipo kabla hata ya rais wetu hajatueleza!huoni there's something hapo?