Kumbe we dada mpumbavu? Hivi kumbe huwa we na wapumbavu wenzio huwa mnaacha kuwa wakweli makusudi in thr name of eti kukitetea chsma na JPM? Ndo maana huwa mnakuwa mbogo pale watu wengine wanapotoa mawazo yao kukosoa kwa nia njema na kwa manafaa mapana ya Taifa, badala ya hiyo mivyama yenu?
Na bila aibu unakuja hapa kutaka malipo in terms of fadhili kwa kushiriki kutetea hata pake penye uozo dhahiri, kisa tu JK, bingwa wa kutoa fadhila kasema hivyo?
Huu ni upumbavu usio na kifani....
Umeona ee? Yani huyu dada mwanzisha thread, na mtos hoja JK akili zao za ajabu sana. Mi nilifikiri wenye sifa stahiki tu ndio wanaotakiwa kupewa nafasi, sio hawa wapiga debe na wapumbavu washindao mitandaoni wakieneza chuki tu kwa wenzao wenye mitazamo tofauti nao....Majanga yameanza. Tumeanza vizuri sasa mambo ya kukumbukana yabaki hukohuko chamani, serikali iendeshwe na watu makini watupeleke nchi ya uchumi wa kati.
Mkuu kwa hiyo unataka kuniambia maisha yamekuwa magumu hivyo??Niliipigania CCM mpaka timu EL walaniripoti Inst nikafungiwa, furaha yangu Magufuli ni rais.
Hongereni wana JF kwa sherehe za miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM.
Leo nimemsikia Mwenyekiti Wa CCM akisisitiza kwa Mhe. Rais kuwa vijana Wa mitandao walifanya kazi usiku na mchana kuhakikisha CCM imeshinda kwa kishindo. Ameomba vijana hao WAKUMBUKWE!!
Hilo ni jambo jema lakini naomba tuchangie hoja zifuatazo:-
1. Wako vijana na wakubwa wengi tu ambao walikipigania chama usiku na mchana na hakuna mtu anawajua. Hao nao watakumbukwa na nani???
2. Humu JF tunawajua wengi tu ambao walikuwa wanakipigania chama usiku na mchana mfano Mzee Mwanakijiji nk
3. Je hao nao wapo kwenye list ya Mhe. January Makamba aliyopeleka kwa Rais??? Waje JF wafanye reference!!!
4. Kuna vijana walikuwa CCM wakati Wa uchaguzi humu JF lakini sasa wamegeuka kuwa maadui Wa CCM ??
5. Tunatamani Mhe. January angetupa hayo majina yawe VERIFIED humu JF maana humu hakuna longolongo. Pia tuone STATUS QUO ya hao watu hadi Leo hii!!!!
Wana JF wekeni majina ya wana mtandao Wa JF waliokipigania CCM usiku na mchana na mpaka Leo sio vigeugeu. Watu hawa wanajitolea na hakuna mtu anawalipa. Haki ibaki kuwa haki ili nao wakumbukwe. Naamini jukwaa la JF ni UKWELI NA UWAZI
Queen Esther
New
Kwa jinsi michango inavyoendelea tunaona yapo makundi makubwa manne:-
1. Wapo waliojitolea kwa ajili ya uchaguzi baada ya hapo wamepotea humu JF
2. Wapo wafia CCM tangu uchaguzi mpaka Leo ndani ya uongozi Wa Dr. JPM wanapambana
3. Wapo waliobadili upepo na sasa wanakipiga chama hasa uongozi Wa Dr. JPM
4. Wapo wana UKAWA lakini waliamua kusimama na kweli eg R.B na rodrick alexander
Hilo kundi la pili (wafia CCM)
- Mzee Mwanakijiji
- Lizaboni
- Faiza Fox
- Dr. chin
- Barbarosa
- Yehodaya
- Jingalao
- Ritz
- mmaranguoriginal
- kanone
- elungata
- stroke
- borat
- msemakweli
- queen Esther
- chogobilo
- simiyu yetu
- meningitis
- mr. Emmy
- LE mutuz
- M2015
- teamubwabwa
- sky eclat
- endelea kuongezea....
Ni vizuri Mhe. January akayaona haya majina. Hawa watu hawakuishia kwenye uchaguzi mpaka Leo wanapiga mzigo kutetea Serikali ya Mhe. Magufuli na hakuna mtu anawajua wala HAWAJAWAHI kuwekewa vocha.
Kama ni kukumbuka hawa wakumbukwe mara mbil. Najua vijana Wa Mhe. Magufli na TISS wanapitia humu naomba salamu ZIMFIKIE Mhe. Rais na Mwenyekiti Wa Chama Dr. JMK
Endelea kuweka majina tafadhali....
Queen Esther
mimi siitaji kukumbukwa wala kuwanyonga watanzania kwenye haki yao na mimi sio buku saba7 kama wewe kwanza hauna account huna kazi na sijui hata elimu ya juu unayo na kama unayo ni ile ya bajaji.Wewe umekumbukwa kwa lipi huko ulipo?
Ni kweli lakini hayuko kwenye ORODHA ya Mhe. Makamba!!
Queen Esther
Mungu hapendi uongo. Mimi ni graduate mwenye masters ya business administration. Ninaajira ya maana na mfuasi mtiifu wa CCM.mimi siitaji kukumbukwa wala kuwanyonga watanzania kwenye haki yao na mimi sio buku saba7 kama wewe kwanza hauna account huna kazi na sijui hata elimu ya juu unayo na kama unayo ni ile ya bajaji.
swissme
graduate una toa povu la omoMungu hapendi uongo. Mimi ni graduate mwenye masters ya business administration. Ninaajira ya maana na mfuasi mtiifu wa CCM.
Mkuu hiyo avatar yako huwa inanichekesha huyo totoo alivyo serious.Hawaja kidhi vigezo,
Pole sana mkuu.... kuna watu wabaya nchi hii.... yaani wewe ni wa kutoswa? kweli CCM ina wenyewe!Mimi ni mmojawapo nimekipigania chama na naendelea kufanya hivyo lakini si miongoni mwa waliopo kwenye list ya Makamba. Sina haja ya kuwemo kwenye hiyo list list kwa vile nimeamua kufanya kazi hii kwa kujitolea ili niwe huru zaidi
Takataka maana yake ni kitu kusichokuwa na thamani!Mkuu Swissme, kwa nini watoto wa mwanamke mwenzio unatuita takataka? Siasa zisitufanye tubaguane
Amechoshwa Na sanaa za CCMMkuu hiyo avatar yako huwa inanichekesha huyo totoo alivyo serious.
Mungu hapendi uongo. Mimi ni graduate mwenye masters ya business administration. Ninaajira ya maana na mfuasi mtiifu wa CCM.
Hawa njaa njaa hawajielewi mkuuHivi vijana wa nchi hii mtaishi kwa hisani ya wanasiasa hadi lini? Hebu shughulisheni halmashauri zenu za kichwa mjikomboe. Yaani kijana msomi unakuwa tegemezi kwa dunia hii ilihali kuna fursa nyingi tu za kukuinua kiuchumi. Acheni kutafuta sifa zisizo na maisha! Eti mkumbukwe na rais, eti kisa mliisaidia ccm kushinda inawaingia akilini kweli? Haya tuseme ilishinda, imekusaidiaje sasa! Jiongezeni achaneni na vitu visivyokuwa na tija. Mliowasaidia kushinda wanakula Milo mitano na mboga Saba ilihali wewe mlo na mboga zako ni shida. Hii imekaa hovyo kabisa, eti mkumbukwe!
yaani kikwete anatoa hoja ya kufuja fedha za kodi za wanachi kuwapa wahuni2
hiii kutumbua majipu hakuna maana kabisa,..wafanya biashara wanabanwa kutoa kodi
then pesa zinatumika ndani ccm
kikwete angetoa fedha za chama kulipa fadhila zao tajwa/.,.
hivi kweli tutafika??????
fedha za nchi kutumika kichama