Kikwete ahimiza vijana wa Mitandaoni wa CCM wakumbukwe na Rais Magufuli

We
wametupwa kama mipira ya kiume.wanaisoma namba wengine ndugu zao waliokuwa wanatetewa na maintarahamwe wengi wao wame tumbuliwa majipu.

swissme
wengine wajanja kama January wao wametumia ndumba mpaka leo wapo wanafaidi michongo ya pesa za fitna za kuirejesha ccm kule Zanzibar baada ya kushindwa vibaya na CUF.
 
mkoani Dodoma!?mitandao ya kijamii hakumaanisha jf peke yake kuna watu walikipigania chama fb,insta na kadhalika
Kikwete yeye kawalenga wale Vijana Hatari waliotumika kuchakachua matokeo kwenye Mitandao yaani ile timu iliyoshirikiana na wataalam wa wizi wa kura toka Kenya na Zimbabwe wakishirikiana na baadhi toka South Africa.
 
Kikwete kawakumbuka Timu ya Uchakachuaji anajua kuwa bila hao Vijana leo hii Ukawa wangekuwa ikulu ndiyo maana amewakumbuka baada ya kuona wengi wameanza kuisoma namba kwa kasi kubwa.
 
wakati akiwa anamaliza hotuba yake huko mkoani singida katika uwanja wa namfua sijaona mwenyekiti wa taifa wa CCM na ambaye anamaliza muda wake Rais mstaafu wa awamu ya nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtaka Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli ahakikishe anawapa zawadi, maslahi na heshima kubwa vijana ambao walijitoa kuipigania CCM katika mitandao ya kijamii ( na hapa alikuwa anamaanisha Jamii Forums kwani huu ndiyo mtandao bora na namba moja Tanzania, Afrika ya Mashariki, Afrika na dunia nzima ) ambao walitumia nguvu yao na kuacha kazi zao usiku na mchana kuipigania CCM humu mtandaoni na hadi kupelekea kuwamaliza kabisa wapinzani hasa hasa ( wana CHADEMA ) ambao walikosa cha kuandika kwani members hawa waliwaweza na kuwashika vilivyo huku wakitoa SIRI za ndani na NYETI za upinzani.

members wenyewe ni hawa wafuatao:

HAMY-D
Lizaboni
GENTAMYCINE

nikiwa kama member humu JF napenda na mimi kuchukua nafasi hii kuwapongeza hao watajwa hapo juu lakini pia napenda kuipongeza Jamii Forums kwa kuweza kuwa na members wa mfano wa kuigwa kama hao na tunaamini kuwa watakuwa ni mfano wa kuigwa kwa sisi wengine tuliopo humu. ukiona hadi Rais mstaafu na Rais aliyepo madarakani anawatambueni basi ni bahati ya aina yake. ngoja na mimi kuanzia sasa nianze kujitahidi kuizungumzia na kuipigania CCM humu JF ili na mimi mwaka 2020 nami niweze kukumbukwa na chama. na ningeshauri vijana wenzangu tusio na ajira hebu tutumie hizi fursa kama za hao members wenzetu tajwa hapo juu ambao walilala masikini na sasa wameamka matajiri baada ya kula shavu na tusipende sana kujihusisha na vyama ambavyo havieleweki, vichanga, vimejaa tu utapeli, ujanja ujanja, ukabila, ukanda na ubaguzi. najuta sana kuwa mwana CHADEMA kwa miaka 11 sasa na nilitegemea nami ningepata japo cheo ndani ya CHADEMA lakini kwa mshangao mimi niliyekuwa naipigania CHADEMA humu nimeachwa na wamechaguliwa watu ambao hata hawakuipigania CHADEMA! narudi rasmi CCM na CHADEMA mtanisamehe.
Lizaboni sasa ni mkuu wa wilaya na alipewa cheo Kama Zawadi baada ya kumpiga mzee wa kigoda cha Mwalimu, lizaboni pia ni dalali wa siasa alipiga pesa nyingi kwenye Udalali wa kuwanunua Slaa na Lipumba pamoja na kushiki kwingineko kwenye kupika, kutengeneza uzushi na Uongo mwingi. Pesa anayokula sasa kaipata kwa njia hatamu maana pesa nyingi zilitoka kwa Membe zikiwa ni pesa za marehemu Gadafi na NIDA, Vijana wakala pesa mpaka vitambulisho vikakwama hadi leo ni watu million 2 wenye vitambulisho vya taifa.
 
Magufuli anafurahi kuwa Rais lakini wenzake hawana Raha maana walitumia pesa nyingi kuwakandamiza ukawa wakitarajia zitarejea pindi ccm ikiingia ikulu lakini imekuwa kinyume wapo wanabuni mbinu mpya ya kuiba pesa pasipo kushitukiwa na Magufuli.
 
P
KWAHIYO HAPO KULIPANA FADHILA NDO KUNAFUATA
hawa watu wanaacha kufocus maendeleo ya msingi
yaani vasco yeye still anawaza fadhiula2
pesa za Gadafi walimalizia kwenye kampeni Roho inawauma endapo libya itawadai watazitoa wapi?
 
Wengi tu Tulijitolea na Tunaendelea kujitolea kukipigania chama na hatuko kwenye listi ya hao 46.
 
Kwikwikwikwikwiiiiiiii! Fisadi Lowasa alipigwa bao la kisigino
Escrow, mabehewa Uozo, kivuko feki, kontena Bandarini, meno ya tembo, kusafirisha Twiga nje, Gesi, sukari, madini, billion 1.7 za ccm zilizoyeyuka kwenye kampeni vilichukuliwa na Lowasa? ? Acha kuishi kwa kukariri Akili za Mwigulu nchemba aliyepiga pesa za escrow kisha akawazuga na hamkumshitukia hadi leo.
 
N
Wengi tu Tulijitolea na Tunaendelea kujitolea kukipigania chama na hatuko kwenye listi ya hao 46.
na sasa ndiyo mnaisoma namba wale wajanja wsliokula billion 1.7 katikati ya kampeni wamepewa Uwaziri wa michezo, mifugo na muungano mwenye nacho huongezewa nyingi sasa hawataki kuwasikia kabsa huko Zanzibar January ameandaa Timu yake ingine ya kutafuna pesa za kuhujumu na kuchakachua matokeo.
 
Nipo YEHODAYA ukipenda kuniita niite mtoto wa Nyerere ninapigana mbele kwa mbele KUHAKIKISHA NCHI aliyotuachia Nyerere inabaki kwa watoto ,wajukuu na kizazi kilichomeza nembo ya nyerere na kuwa nchi haiendi Kwa fisadi yeyote awe ndani ya CCM au Upinzani
Nani alinunua Kivuko cha mwaka 1978 kwa billion 8 ? Je? Hicho kivuko kipo wapi? iweje kivuko kipya kikubwa mara mbili na chenye kasi cha mwaka 2015 Azam kinunuliwe kwa billion 5 tu, mnunuzi wa kivuko yupo wapi siku hizi? Mtaje?
 
Kuna mmoja kati ya hao akaaga jukwaa akasema atakuwa adimu kwa sababu ya kilimo pyuuu hivi katika Wakulima naye anajihesabu mkulima? Hakika this was the poorest excuse ever and the most silly one

Yule anaekupa darsa za hapa na pale. Ni vyema umemkumbuka.
 
Ni kweli mtumishi ila ni vizuri haki itendeke ktk kukumbukwa. JF imefanya kazi kubwa pia kuitetea CCM kupitia hao wanachama wake wakujitolea ambao wanajulikana humu. Usije kukuta kuna mtu kabeba jina la Lizaboni huko anasubiri Zawadi na Lizaboni original humu JF hajawahi hata kupewa vocha na matusi yote anayoyaata humu kwa ajili ya CCM.

Queen Esther
da kweli kabisa
 
N

na sasa ndiyo mnaisoma namba wale wajanja wsliokula billion 1.7 katikati ya kampeni wamepewa Uwaziri wa michezo, mifugo na muungano mwenye nacho huongezewa nyingi sasa hawataki kuwasikia kabsa huko Zanzibar January ameandaa Timu yake ingine ya kutafuna pesa za kuhujumu na kuchakachua matokeo.
Wala hatuisomi namba maana hatukitetei chama kwa sababu ya njaa au matarajio ya vyeo na posho.
 
Hujaelewa BANDIKO langu.

Hawajatupwa ila tunataka JF nayo ichangie kutoa hayo majina hata Kama ni kuongezwa Kama hayapo kwa Mhe. January.

Queen Esther
Wewe una uhakika gani kua JF haijatoa hayo majina?? Kama wewe hukua ukilipwa ni wewe, wenzako walitumwa na Mr. February na walikua wakilipwa
 
Mbona kuna majina mengi sana umeyasahau hapo, watu walimpigania JPM kwa sababu ya uzalendo na kulitakia mema taifa na si ushabiki kama baadhi watu... Mwisho wa siku watu wanataka kuona taifa linasonga mbele,,, mimi binafsi SAMURAI, pia simuoni MWANADIWANI,OLESADIMU na watu wengine wengi tuliompigania JPM... kwa kutumia busara nyingi...mpaka kuna watu wakalikimbia jukwaa hapa, unamuona BEN SAANANE, NICHOLAUS na YERICKO humu JF siku hizi???
 
Back
Top Bottom