Kikwapa

Unamanisha kwapa nyeusi uso mweupe? mbona kwapa mbali miguu unaweza sema mtu sio yake ....
 
Daaah....kimechachamaa kichizi!

Clinical strength Anti-perspirant deodorant with wetness protection ingesaidia sana hapo. Ubaya usikute mdada wa watu hata hajui kama kuna kitu kama hicho.
 
Kwapa siku zote hubeba lawama!yaani hata kama linanukia lakini likilowana na kuwa jeusi!raia hawaelewi!
 
Anyway, wanachubua maeneo ambayo wao wanaona yana umuhimu kwao, ikifika mahala kuna jambo kuho nako watachubua tu, ila kwa sasa bado hawajafika huko si unajua kila kitu lazima uwe na strategie
 
Aaah mbona kijasho cha kupanick hicho? Full kuona aibu na huyo sijui ndo waziri au waziri ni nyota? Na huyo binti ni sauda?
 
Kujichubua unaweza lakini vipi Kwapa jamani?


Kwao ni bora wachubue nyuso zao, kuliko kuangalia sehemu zingine za mwili. Aibu mama. Mwanamke usafi mama kakoge maji, alafu upe kwapani deodoranti ya mchina. hiloo nyooo..... yatakushinda bibie....

Alafu tunaonamba majina wa wadada wa mujini walojichubua wote, kwa maana siku hizi kila mtu mweupe . walokuwa weusi zaidi yangu zamani, ni nusu wazungu siku hizi. embu leteeni list ya wadada wa mujini walokula cloroxi
 
Daaah....kimechachamaa kichizi!

Clinical strength Anti-perspirant deodorant with wetness protection ingesaidia sana hapo. Ubaya usikute mdada wa watu hata hajui kama kuna kitu kama hicho.

Raha ya exhaust kutoa moshi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom