Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
Mkuu:
Shule unayotoa ni nzuri. Lakini hapa kuna mchanganyiko wa mambo mengi. Ingekuwa mzizi wa babu umengunduliwa hospitalini, watu wengi wasio na utaalamu wa matibabu wangewaachia wataalamu wafanye kazi zao. Lakini kwa sababu Babu ni mchungaji na amepokea maagizo kutoka kwa Mungu, basi mjadala mzima unachukua a new dimension.