Kikao cha dharula: Kitimoto kwa wabunge wa CCM wanaopigia kelele Escrow

Endelea kujifariji lakini mambo yote jumatatu,wezi wote watajulikana! Ccm lazima ife,mikakati yao imeshachelewa!

Nchi hii hakuna upinzani bana hizo ni escrow tu za kupigia mpunga; tungekuwa na upinzani wa kweli mbona hiyo sisiem ingeshang'oka mda mrefu sana hao ndio walewale tu. Nyerere alishasema upinzani wa kweli utapatikana kama sisiem itagawanyika wale wazalendo kama kina mzee Warioba ndio pekee wanaweza kuisaidia hii nchi kama watatoka mle
 
Kikao kinaongozwa na Wasira na Lukuvi,

Wabunge wa ccm wale wanaopiga kelele kuhusu Wizi huu wamewekwa mtu kati,

Kinafanyikia Ikulu ya Dodoma kwa siri kubwa, hata magari yao yote yameigizwa ndani kabisa, kwa hapa nje lipo Gari la Lembeli aina ya Range Rover Namba T382 lililokosa nafasi ndani. kikao hiki kimeitishwa kwa meseji tu hii ni baada ya jioni kutangazwa kuwa kimeahirishwa,

Sababu za usiri huu ni pale tulipowaanika jana katika kikao chao cha shinikizo kwa Werema ajiuzuru, Zigo limemdondokea Godfrey Zambi kuwa ndie aliyevujisha siri ile kwakuwa aligoma kuzima simu na alikuwa akichati fb wakati kikao kikiendelea, hivyo kikao cha sasa hivi katupwanje.

Kikao hiki kwa sasa kimembana Ndugai kwamadai anaihujumu serikali,

Ndugai amezila kuendelea na Bunge amesema yeye sasa hata ongoza vikao, bora awe pembeni kuepusha msongamano!

Ccm imegawanyika makundi matatu, lile linaloshinikiza waliohusika na wizi huu wote wapigwe chini lakini,ukifuatilia kundi hili linavizia vyeo vya uwazili, na tayari kampenzi za kuwania vyeo hivyo zimeanza.

Kundi la pili hili ni wanafiki wa kati wasio na msimamo, lenyewe linataka wafukuzwe wachache (maswi,tibaijuka,mhongo na werema) hili linasema linanusuru serikali isianguke.

Kundi la mwisho ni la wezi wenyewe, hili linafanya kila njia ripoti hii isisomwe bungeni, hili linaongozwa na Pinda na Werema.

UPDATES.22/11/2014

Ndege ya serikali ipo hapa Dodoma imekuja alfajiri hii 5-H CCM.. Aina ya folker F28 haijajulikana imemleta au imekuja kumchukua Nani, ila taarifa za awali zinasema Bilali alikuwa aje leo.

Hali ya mambo ni ngumu kama vile nchi ipo vitani...!

Kinana tayari ameletwa na Ndege mida hii,

Mrejesho wa Kikao Cha jana usiku

Imeamriwa popote alipo Spika Makinda aje, Ndugai out hadi sakata lipite, afanye awezavyo Pinda apone,.. Wachangiaji wakali wasipate nafasi iitwe briefing ya wabunge wote watapike nyongo nje ya waandishi ili siku ya mjadala kuwe na hewa safi.Kama ni kuondoka waondoke mawaziri ila sio waziri mkuu.

Inatakiwa njia ya kumuangukia au kumdhibiti Mh. Mengi wa IPP,

Leo agenda kuhusu Mengi itajadiliwa kwa kina katika kikao cha baadae. Ifahamike kuwa Vyombo vya habari vya Bwana Mengi vimekuwa vinalielezea jambo hili kwa uwazi na uhuru mkubwa kiasi cha umma kulielewa.

Amina mkuu wendo jembeletu pamoja sana.
 
Habari kama hii akina Lizaboni.Laki si pesa.Ritz.Chaburuma a.k.a Makonda.Simiyu yetu n.k buku saba hawachukui maana huwezi kuwaona wakileta umsukule wao.
Wapi VUTA NKUVUTE nawe utupe uhakika zaidi maana najua upo Dodoma.
 
Jumatatu tunataka kuwaona Wabunge wanafiki watakao tetea maovu. Safari hii tutahakikisha yeyote anayetetea uovu naye aandamwe mpaka ajutie usaliti wake.

Hawa wabunge wajue hawana cha kuhofia. Uchaguzi is just around the corner. If they don't play their cards well surely they are going to sink. Wajue wananchi tunafuatilia kwa karibu sana. Wakitetea wezi wajue wamejimaliza. Huyo Makinsa aje ila ajue hana jambo la kuficha.
 
Hakuna wanafiki na wizi zaidi ya viongozi wa Chadema, ambao wewe ndio kipaza sauti chao. Wewe unatumika kama kitambaa cha waiter of a restaurant, only needed to clean the table for the next custom. you are pathetic

Pimbi wee! pesa za umma zimeibiwa wewe unaleta mambo ya kishoga hapa! kwenda zako huko kuwadi wa CCM we!
 
Nchi hii hakuma upinzani bana hizo ni escrow tu za kupigia mpunga; tungekuwa na upinzani wa kweli mbona hiyo sisiem ingeshang'oka mda mrefu sana hao ndio walewale tu. Nyerere alisasema uinzani wa kweli utapatikana kama sisiem itagawanyika wale wazalendo kama kina mzee Warioba ndio pekee wanaweza kuisaidia hii nchi kama watatoka mle

Ulitaka wapinzani wafanye nini kama nyie wenyewe wenye nchi mmelala na hata mkiamshwa hamuamki? Mnalalamika badala ya kuchukua hatua? Kura hampigi na hata mkipiga hamzilindi kura zenu sasa unalalama nini? Hata maccm yakifanya uhuni wa dhahiri mkaambiwa muungane kuitetea nchi yenu kama walivyofanya burkina faso hamjitokezi mnajificha na kuwalaumu wengine kana kwamba nchi hii na raslimali zake haziwahusu nyinyi bali zinawahusu viongozi wa upinzani tu! Pambafu sana na mnachosha!
 
Huu ndio wakati muafaka wa kufatilia nyendo za wabunge wetu, NA OLE WAKE ATAKAYETETEA WEZI,UCHAGUZI UPO KARIBU NA HAKIKA UBUNGE ATAUSKIA TU
 
Nipo ngara vijijini kwa mara ya kwanza ccm wanashuhudia upinzani wa ajabu ktk chaguzi za mitaa,ccm wanawalazimisha watendaji wa vijiji wawape upendeleo,watendaji wamegoma wanasema wameapa mahakamani kutumikia vyama vyote sii ccm

Kwani wananchi wanajua muda wa kujiandikisha ili wafanye hivyo? kwa sababu haya mambo yanaenda kimyakimya.
 
watanzania tuhamasishane sisi wa dar. Tukutane kwa maandamano makubwa sana, ukawa wakutane watoe msimamo mmoja na kuitisha maandamano nchi nzima kuelekea upanga jwtz.
peke yako na ukoo wako ndiyo muandamane!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ndiyo kwanza ngoma bado mbichi tusubili tuone maamuzi yatakayochukuliwa na bunge ndiyo tufanye hayo maamuzi mengine
 
Pinda ni hopeless sana hatimizi wajibu wake ipasavyo hali inayopelekea rais kuonekana dhaifu, has to go.
 
Wanadhani kuna siri kwa kufanya vikao vya siri? Mbona siri zimevuja?

Hakuna cha kumdhibiti Mengi wala kumuepusha Pinda na sakata hili. Ataondoka, atake asitake, la sivyo wanachama wengi sana wa CCM, wale wa kawaida, ndio watakaoiangusha CCM, kuanzia uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Desemba 14.

Tena bora Pinda abaki na Uwaziri Mkuu ili kazi ya kuitoa CCM madarakani iwe rahisi zaidi.
 
Umbea wako usio na mashiko kila kukicha unatunga habari hii tabia yako ndiyo ilikufanya ukose nafasi zote za uongozi ulizogombea chadema

Kumbe ni umbea basi kuna ukweli. Mimi nilidhani ni uzushi.
 
mnafiki leo huu unaungana na "mzushi nyerere fake",haaah,haah makenge kwenye msafara
Mbona unaongea kama shoga we fa.la.

Mtoto fake wa nyerere asiwe mtoto fake ni juu yake.

Kwani suala hili la escrow yeye ndie kalileta nje kwa watz.

Kuungana nae kivipi.

Sio kila nachozungumza ukimbilie kuniquote na kushow concern kwangu umeskia wewe cho.ko.

Mind your bzness.
 
unapoona ishu kama hizi sarakasi zimezidi ujue na mkulu naye anahusika sasa anatafutwa mtu wa kudondoshwa zigo...

Tezi dume litachelewa sana kupona. Pia tusubiri Miraji na dadake na kampuni yao ya Simba waende mahakamani.
 
Mengi ana ruhusu airtime kubwa sana katika saga hili.

Unadhani kwa mzalendo yeyote yule utaviziba vyombo vyako vya habari visiwe huru kwa wizi mkubwa namna hii? si utakuwa ni ujinga ulokithiri.Go go Mengi watanzania wazalendo tuko nyuma yako!
 
Back
Top Bottom