Kikao cha dharula: Kitimoto kwa wabunge wa CCM wanaopigia kelele Escrow

Hujaliona alilo nalo? Vyombo vyake vya habari ndio vimekuwa vinalielezea jambo hili kwa uwazi na uhuru mkubwa kiasi kuwa Watanzania wengi wamefahamu kwa undani. Hivyo lazima wahangaike naye kwani hilo jambo ni hatari kwa maslahi yao.
Kwahiyo mengi anataka yeye lazima apewe kitalu cha mafuta na gesi kwa upendeleo ili aache kuwahonga akina kafulila?
 
hata jana kwenye ile clip ya mjadala wa escrow kwenye you tube page ya ITV ilitolewa
 
Anaweza kuwa kadanganya kote huko,Lakini manaibu mawaziri huingia endapo Waziri husika hayupo.Huingia kama Muwakilishi.

Unao uhakika na huo uwakilishi? Kwa hiyo unamaanisha manaibu waziri nao wanapewa kile kiapo cha kutotoa siri za baraza la mawaziri?
 
Tunaambiwa mccm yanakaa vikao usiku kucha Kunusuru Chama kisianguke lakini it's too late. Hatimae lichama la ccm linaanguka pwaaaaaaa...
Wwe ccm kama siyo uwizi wa kura na kuwatumia polisi wasinge kuwa madarakani,hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza wapigia kura hawa wezi.
 
Watanzania tuhamasishane sisi wa Dar. tukutane kwa maandamano makubwa sana, UKAWA wakutane watoe msimamo mmoja na kuitisha maandamano nchi nzima kuelekea UPANGA JWTZ.

Hata UKAWA wamekula wewe au huelewi somo umeshamsikia Mbowe akipiga kelele hapo? huyo wa pumba pumba naye anapiga vijembe pembeni tu wala hapigi shuti za kati kwa kati kama tunavyomjua
 
hata jana kwenye ile clip ya mjadala wa escrow kwenye you tube page ya ITV ilitolewa

Aliyeweka ndiye aliyetoa.
Inawesekana pia aliye upload ile clip siyo watu wa ITV ni mtu tu aliweka na ametoa kwa sbb ajuazo yeye!
 
Aliyeweka ndiye aliyetoa.
Inawesekana pia aliye upload ile clip siyo watu wa ITV ni mtu tu aliweka na ametoa kwa sbb ajuazo yeye!

ndugu yangu iko kwenye page ya facebook ya ITV , wamelink na you tube, ilkuwa uploaded na ITV
 
Kikao kinaongozwa na Wasira na Lukuvi,

Wabunge wa ccm wale wanaopiga kelele kuhusu Wizi huu wamewekwa mtu kati,

Kinafanyikia Ikulu ya Dodoma kwa siri kubwa, hata magari yao yote yameigizwa ndani kabisa, kwa hapa nje lipo Gari la Lembeli aina ya Range Rover Namba T382 lililokosa nafasi ndani. kikao hiki kimeitishwa kwa meseji tu hii ni baada ya jioni kutangazwa kuwa kimeahirishwa,

Sababu za usiri huu ni pale tulipowaanika jana katika kikao chao cha shinikizo kwa Werema ajiuzuru, Zigo limemdondokea Godfrey Zambi kuwa ndie aliyevujisha siri ile kwakuwa aligoma kuzima simu na alikuwa akichati fb wakati kikao kikiendelea, hivyo kikao cha sasa hivi katupwanje.

Kikao hiki kwa sasa kimembana Ndugai kwamadai anaihujumu serikali,

Ndugai amezila kuendelea na Bunge amesema yeye sasa hata ongoza vikao, bora awe pembeni kuepusha msongamano!

Ccm imegawanyika makundi matatu, lile linaloshinikiza waliohusika na wizi huu wote wapigwe chini lakini,ukifuatilia kundi hili linavizia vyeo vya uwazili, na tayari kampenzi za kuwania vyeo hivyo zimeanza.

Kundi la pili hili ni wanafiki wa kati wasio na msimamo, lenyewe linataka wafukuzwe wachache (maswi,tibaijuka,mhongo na werema) hili linasema linanusuru serikali isianguke.

Kundi la mwisho ni la wezi wenyewe, hili linafanya kila njia ripoti hii isisomwe bungeni, hili linaongozwa na Pinda na Werema.

UPDATES.22/11/2014

Ndege ya serikali ipo hapa Dodoma imekuja alfajiri hii 5-H CCM.. Aina ya folker F28 haijajulikana imemleta au imekuja kumchukua Nani, ila taarifa za awali zinasema Bilali alikuwa aje leo.

Hali ya mambo ni ngumu kama vile nchi ipo vitani...!

Kinana tayari ameletwa na Ndege mida hii,

Kama Ccm ina taka kuwa na heshima mbele jamii wasitetee huu wizi
 
Wale walioenda kuchukua mafunzo ya kigaidi hawakuwa na kosa ..serikali hii ya kijambazi njia ni moja tu.
dawa ya moto ni moto Mani nah!!
 
Hata UKAWA wamekula wewe au huelewi somo umeshamsikia Mbowe akipiga kelele hapo? huyo wa pumba pumba naye anapiga vijembe pembeni tu wala hapigi shuti za kati kwa kati kama tunavyomjua

Endelea kujifariji lakini mambo yote jumatatu,wezi wote watajulikana! Ccm lazima ife,mikakati yao imeshachelewa!
 
Mkuu lizaboni mbona sioni uzalendo? Hata Kama ni ushabiki wa Chama ndo ushabikie hadi huu ufisadi? Kila mada hapa ya huu ufisadi we uko degative unashabikia upande wa wezi!!! Kuna Mtu aliuliza hapa we ni mtanzania kweli?
 
Back
Top Bottom