kijijini kuna raha zake.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
POMBE.jpg

jamaa anapiga usingizi baada ya kinywaji,hapo hakuna cha kuogopa zaidi ya nyoka.
 
Ingekuwa hapa mjini angeacha pombe kwamambo ambayo watoto wa mujini wangemfanyia.ulevi ni noma babu nusu afe hapo.
 
He has no drinking problems, he drinks, he gets drunk, he falls down, there is no problem!
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Sijui kwa sasa hivi kama bado kijijini kuna utu,kabla hii dunia haijachanganyikiwa hivi mzee kama huyu anapakiwa kwenye toroli anarudishwa mpaka nyumbani kwake ila ssa hivi wanaweza kumpasulia hata yai bichi....
 
kijijini jioni hakuna lakufanya.
ni ngono na kinywaji kwenda mbele.
 
kijijini jioni hakuna lakufanya.
ni ngono na kinywaji kwenda mbele.
Mkuu nilimuona katika kundi hili akigida kwa raha zake, sikutegemea kwamba matokeo yake yangekuwa hivi
 

Attachments

  • Kwa Raha Zao.png
    Kwa Raha Zao.png
    57.9 KB · Views: 50

Similar Discussions

Back
Top Bottom