MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,358
- 11,255
CONTRADICTION! DING DONG!!!!!!!!!!!!11 TITITIIIIIIIIIIIIIIIII! CASE STUDY, Wema Sepetu, MRS Aunty Ezekiel Sunday, MRS Irene Ndikumaa, ET AL! AU WANAOTOKA NAO NI WANAWAKE WALE NDANI YA SURUALI??????? Hao ni maarufu tu ambao nikitaja ina ring a bell, acha hawa kina MWAJUMA NDALA NDEFU TULIO NAO STREETS.
MAPENZI NI ZAIDI YA UYAJUAVYO!!!!!!!!!!!!! Mkitakacho wanaume HAKIKO CONSTANT ASILANI! Ukiwa BROKE A.SS UTATAKA MWANAMKE FAITHFUL WASIKUMEGEE, UKIWA LOADED UTATAKA TALK OF THE TOWN AENDANE NA CALIBER YAKO KUKUWEKA KWENYE RAMANI YA JIJI, UKITOKA KIMAISHA JUMLA JUMLA UTATAKA THE WOMAN OF YOUR DREAMS HATA KAMA ITABIDI UMCHOMOE KWA MUMEWE! LIFE IS REALLY A BI.TCH.
Kadri ukuavyo utaelewa naongelea nini.
Hao wote uliowataja
Hebu walinganishe na hawa hapa
1. Faraja Kota
2. Hoyce Temu
3. Jackline Ntuyabaliwe
Unaona wanalingana? Mwanaume anajielewa, status yake itakuwa reflected with the woman he is hooked up with. Watu wakiona mume ni chapombe kupindua huwa hawamshangai mke wake, zaidi zaidi watamsifu kwa uvumilivu.... leo mwanaume awe na mke anashinda bar na kurudi asubuhi atadharaurika hata na watoto.
The bottom line is.... kwa mwanaume status ya mke/mwanamke wake in the society ina matter kuliko unavyodhani. Leo hii Zitto Kabwe akamuoe Wema si kila mtu atashangaa. Janamke linalotembeza ------ yake stejini usiku kucha, mwanaume mwenye akili zake hawezi kutaka kuonekana nae hadharani.