Kijana umejitunza sana where is your happy ending? Is there a happy ending for real?

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,130
Namasteeeee!

Kuna ile dhana ya kijana jitunze usikurupukie mamb, jipange, utajutia baadae. tulia dada/kaka hadi baadae. basi unakuta mtu tight a.ss, no man/woman is good enough for them, they are reserving themselves for future when the right man comes along! seriously gambling with fate and the future!

The million dollar question is " is the happy ending for real" like come on! being in the future myself for some time, wale tight a.ss wa enzi zangu sijaona happy ending yoyote. Wala happily ever after!1

Not that sisi tuliokuwa mikurubembe, mi dada la dada tuna happy ending yoyote, ila the way I see it we deserve the karma! considering we cashed our happy ending wherever it crossed in our territory not that we owe life any debts.

Lakini wale wenzetu they somehow deserve better! karma is a bi.tch afterall. minawaambiaga madogo dont expect too much from life! ishi uishivo ili usiwe na regrets. Nothing is guaranteed! just live your life to the fullest.

Kuna wale watulivu wa zamani, maisha yanawapeleka peleka, now that wamegonga 30 n above bila bila, wengine divorced, wengine ndoa tia maji tia maji, mushkeli mtupuuu. Wanabakia enzi zangu mwanaume hanigusi mimi hadi nilivoamua kuolea na baba flani. Baba flai mwenyewe anamfuja tu hapo nyumbani, cha kuonesha alichokipata hamna hamna, mume shoti, shoti! wasikilizaji tunabakia kupiga mihayo tu. unakuta kaka alijitlizaa mke aliempata sasa weeeee!

I,m just observing life from a different perspective. simaanishi vijana mujachie, sababu happy ening hakuna, ishini ishii tu hivo hivo. ila dont expect so much in this life. normal is over rated these days!

over kama mmenisoma!
 
Hujitunzi kwa ajili ya happy ending, unajitunza sababu ya 'your own pride'

Nini mwanamke umetembea na mtaa mzima?! Afu nshagundua, hata kama ssura iko kisogoni, mwanamke ukiwa mbanaji wanamme wanakuzungukia kama simba wenye njaa. Huwa kuna kitu hivi kinawafanya baadhi ya wanamme wawe under your feet kila siku. Basi unajisikiaje Kim Kadashani, ila ukienda kwenye kioo ndio unagundua uongo.

Na ukiigawa kama njugu, hata uwe mzurije, unakuwa kama kifutia jasho tu.

Hujawahi shangaa wanamme wanakimbilia kupropose kwa mwanamke ambaye ameshazaa simple bcoz labda alikuwa na mtu mmoja tu? Na wanaacha mabinti wabichi kibao coz wana msururu wa watu?
 
Kukata tamaa kubaya sana na unaeweza uaijijue..hii ni sawa na kuona watu wengi wanakufa wadogo au matajiri wanakufa wanaacha mali..so na ww ukasema sifanyi kazi kwa bidii maana naweza kufa wakati wowote nikaacha mali and all that..hakuna kitu kizuri kwenye maisha hasa (psychologicaly) kama kufuata normal principles za maisha(mtu km obama anaweza kuamfano mzuri kazaliwa maisha kawaida, kasoma kwa bidii, kafanya u-teen kidogo, kaoa yupo faithfull though ndoa haikosi changamoto, na anaendelea tu)..kufuata normala life principle ni kuzuri kisaikolojia kwa sababu kwenye (developmental mile stone )kuna umri ukifika unaanza kureflect maisha yako ya nyuma..kama uliishi hovyo..unakua na mwisho mbaya sana psychologicaly unaweza kuwa hata na depression uzeeni..km uliishi vzr unakua na mwisho mzuri..tunaona huku ambapo wazee wanaishi muda mrefu..ukienda kuwahudumia unaona tofauti..kati ya yule alikosea step na yule alieishi vzr...lkn sasa inabaki ni kujaliwa na mungu kwenye genetical part ya personality lakini na uchaguzi wa mtu wa maisha na nini anakitaka kwenye maisha yake(lkn inakua influenced na mazingira wakati mwingine)...
 
Na haitakiwi ujitunze kwa ajili ya happy ending, unajitunza sababu unaijua thamani yako, period!

Ina maana ukiambiwa ungonoke na watu 30 ili uwe na happy ending utafanya?

^^
Kuna mahali hukunielewa! Lakini bado umerudi ninapoamini.
^^
 
Hujitunzi kwa ajili ya happy ending, unajitunza sababu ya 'your own pride'

Nini mwanamke umetembea na mtaa mzima?! Afu nshagundua, hata kama ssura iko kisogoni, mwanamke ukiwa mbanaji wanamme wanakuzungukia kama simba wenye njaa. Huwa kuna kitu hivi kinawafanya baadhi ya wanamme wawe under your feet kila siku. Basi unajisikiaje Kim Kadashani, ila ukienda kwenye kioo ndio unagundua uongo.

Na ukiigawa kama njugu, hata uwe mzurije, unakuwa kama kifutia jasho tu.

Hujawahi shangaa wanamme wanakimbilia kupropose kwa mwanamke ambaye ameshazaa simple bcoz labda alikuwa na mtu mmoja tu? Na wanaacha mabinti wabichi kibao coz wana msururu wa watu?
Umeisema vzr sana..mtu kwenye maisha unafanya kitu kwa ajili yako mwenyewe na kukujenga kisaikolojia kujua kwamba in life ur doing the right thing for u..uwezi kuacha kujitunza eti kwa sababu utakuja kupata mtu atakufuja...what if km mtu hatajitunza alafu apate mtu mzuri..
 
^^
Kama kuna aliyekuelewa vizuri ni mimi.. Kweli Kujitunza sio stakabadhi ya kuwa na happy ending
^^
Ivi mkuu ikitokea mtu asipojitunza alafu akajakupata mtu mstarabu..hamfujia hamfanyi chochote kibaya inakuaaje hapo..mm nadhani maisha haya ni kuishi kwa kufuata principles tu..na kumuomba mungu..kama bahati mbaya mtu alishidwa kushtuka na kujitunza na kuishi kufuata principles nzuri za maisha its sorry for her lkn its not the way life should be..
 
Hujitunzi kwa ajili ya happy ending, unajitunza sababu ya 'your own pride'

Nini mwanamke umetembea na mtaa mzima?! Afu nshagundua, hata ikama ssura iko kisogoni, omwanamke ukiwa mbanaji wanamme wanakuzungukia kama simba wenye njaa. Huwa kuna kitu hivi kinawafanya baadhi ya wanamme wawe under your feet kila siku. Basi unajisikiaje Kim Kadashani, ila ukienda kwenye kioo ndio unagundua uongo.

Na ukiigawa kama njugu, hata uwe mzurije, unakuwa kama kifutia jasho tu.

Hujawahi shangaa wanamme wanakimbilia kupropose kwa mwanamke ambaye ameshazaa simple bcoz labda alikuwa na mtu mmoja tu? Na wanaacha mabinti wabichi kibao coz wana msururu wa watu?

Well said!!!!!!!!!!
 
Unajifariji tu....huna lolote,..
Mkuu mwaka huu nshakutana na wasichana kama watatu hivi..mmoja alikua ameolewa na mtu mwenye hela sana ..wakaw wananimbia wanatamani warudi miaka 17 ili wafute yale maamuzi waliofanya miaka hiyo mpk wakiwa na miaka 25..hii hutokea ..ni kwamba wasichana wengi hawajui kujitunza , kuwa mwangalifu ndo mpango mzima weither maisha yatakuaje mbele..lkn kisaikolojia inawasaidia sana especily kuwa strong women na kufanya maamuzi kwa busara..its sad thing wengi hawajui hilo..papuchi sio kila mtu anapewa bana..na papuchi sio ya kutafutia hela, kipasia mitihani au kupandishwa vyeo..
 
I wish Katiba Mpya iruhusu Vyeti vya NDOA viwe na Expiry Date.....please Chabruma nisaidie hili huko bungeni
 
Last edited by a moderator:
Ivi mkuu ikitokea mtu asipojitunza alafu akajakupata mtu mstarabu..hamfujia hamfanyi chochote kibaya inakuaaje hapo..mm nadhani maisha haya ni kuishi kwa kufuata principles tu..na kumuomba mungu..kama bahati mbaya mtu alishidwa kushtuka na kujitunza na kuishi kufuata principles nzuri za maisha its sorry for her lkn its not the way life should be..

^^
Ujue inawezekana sikumwelewa Mleta mada, kama nimemwelewa vizuri ni kuwa MTU ASIJITUNZE KWA LENGO LA KUWA NA HAPPY ENDING kama anajitunza ajitunze kwa sababu nyingine.
(Thats from notes)
Hoja ya lala 1 naifananisha na jinsi maisha ya sasa yalivyo.
Mwaka 2012 niliwahi kukutana na binti aliyekuwa anasoma Chuo Kikuu kimojawapo hapa nchini. Alikuwa ameamua kuishi maisha ya kujiuza. Nilipomdadisi aliniambia kuwa, amejitunza tangu kuzaliwa kwake, amesoma mpaka chuo kikuu akiwa amepitia majina mengi ya kejeli juu ya kujistahi kwake, Alijitunza akitumaini kuwa bikra ni zawadi pekee itakayomfanya Mumewe ampende na iwe fahari kwake na wazazi wake. Akiwa mwaka wa pili, alikutana na mwanaume aliyesema anampenda sana! Na akaahidi kwa kiapo kuwa atamuoa. Na ktk ushawishi akafanikiwa kumpeleka binti huyo chumba fulani, akamtoa bikra yake, na kibaya ni kuwa yule Mwanaume akamwambia 'hujui mapenzi, hivyo tuachane' binti alirudi hosteli analia, akiwa ametapakaa damu, akastiriwa na wenzake. Kesho yake yule mwanaume akasafiri akaenda kuoa! Kweli alioa.
Binti yule akachukia wanaume na kuona hakuna thamani ya kujitunza.
(From experience)
Huo ni mfano mmoja hai, ninayo mingi.
Turudi katika mada:
Huyu binti alitakiwa ajitunze akiwa na probabilities zote mbili. Zaidi kwa kuelewa kuwa happy ending haitegemei jambo moja tu, ni mkusanyiko wa factors.
Dr. Mo ikiwa tunafuata kanuni za maisha, mojawapo ni kuwa 'Never react without evaluating two probabilities of a plan'
^^
 
Last edited by a moderator:
Hujitunzi kwa ajili ya happy ending, unajitunza sababu ya 'your own pride'

Nini mwanamke umetembea na mtaa mzima?! Afu nshagundua, hata kama ssura iko kisogoni, mwanamke ukiwa mbanaji wanamme wanakuzungukia kama simba wenye njaa. Huwa kuna kitu hivi kinawafanya baadhi ya wanamme wawe under your feet kila siku. Basi unajisikiaje Kim Kadashani, ila ukienda kwenye kioo ndio unagundua uongo.

Na ukiigawa kama njugu, hata uwe mzurije, unakuwa kama kifutia jasho tu.

Hujawahi shangaa wanamme wanakimbilia kupropose kwa mwanamke ambaye ameshazaa simple bcoz labda alikuwa na mtu mmoja tu? Na wanaacha mabinti wabichi kibao coz wana msururu wa watu?

Hahahaaaaaaaaa sio dunia ya leo! Ukiwa MBANAJI UNAITWA MAMA MCHUNGAJI, NAOMBWA TU USHAURI. Midume ya sikuhizi inapenda vya KUNYONGA VYA KUCHINJA hawataki. Kote nilikopita DADA AKIWA ANAACHIA SANAA, ATAKUA BEYOND POPULAR! AWE MZURI KIDOGO, BAAAAAAAAS! ANAONEKANAJE COOL! WAMJNI!

Wabanaji sikuhizi ni MISFITS! Watapata wao wa SHAMBA huko! SIJUI DUNIA IAELEKEA WAPI! Hahahaaaaaaaaaa! Hata hawa WDADA WA MUJINI WAVUMAO JAP WAMEOLEWA ILA MAFAILI YAO NI DIRTY!

kUPROPOSE UNAWEZA PATA MWANAUME LOFA LOFA AMJUE NANI WEWE UNAJINA UMEPATAAAAA KUMBE KAWAIDA TU! Wachache sanaaa uzae afu ushinde kwenye scramble and partition.
 
"Mwanamke ni sawa na gari kupata service kila mara, likizidisha linachoka linakongoroka, mwanamke kuzidisha wanaume nilazima achoke akongoroke wanaume na utoweka" By Dudubaya song Nakupenda mpenzi
 
Back
Top Bottom