Kijana kumaliza degree na kuuza mahindi au kazi za umachinga ni kujidhalilisha

Hahahahaaaa tehetehetehe kwikwikwiii watu wenye degree wanachimba mitaro vizuri sana, halafu pia wenye masters huwa wanachoma mahindi vizuri sana. I hope PhD watakuwa boda wazuri sana barabarani.
 
Hawafsnyi kwa kupenda bro! Degree kitu gani kama haikuingizii pesa,? Una degree ya udakitsri, miaka 5,ili ikupe maokoto lazima uajiliwe kwanza, elimu yako ndio bidhaa, unauza, unalipwa! Sasa kama hakuna wa kununua bidhaa yako(ujuzi wako wa udakitsri), inabidi utafute bidhaa nyingine uuze!ndio kutumia maguvu kuchimba mitaro nk
 
Inategemea umachinga unao define wewe ni huu wakutembeza vinguo viwili vitatu barabarani au kuwa na kiduka cha kawaida.Umachinga upo wa hali ya chini,kati na juu.Mimi naona inatengemea unataka kuwa wa juu au kati bado ni applicable kwa mtu mwenye degree kwani hata kuwa agent wa viwqnda vikubwa duniani bado ni umachinga but in different level.Mfano kuwa na kituo cha mafuta na unauza mafuta usioagiza wewe ,huo ni umachinga but in different version.Mimi mchaga hata niwe na PHD lazima niganye umachinga lakini kwa level ya juu
Mkuu kwamba ujaelewa anaongelea umachinga wa level gani au
 
Weka akiba ya maneno.
Waacha wachimbe mitaro na wazibue pia vyoo ,wapate Hela ya kula.
Nakupa
Mfano. Ukiuza chips sahani 20 *2500/ =50000/
Akipata faida buku TU .
20000/=
Zidisha mara 30

Jamani uzeni sana chips,mahindi. Machungwa mihogo.nk
Mtengeneze soko la bidhaa za wakulima yaani ,nyanya ,vitunguu,kabich,ndimu,nk
Wapi uko chipsi 2500?
 
Kijana kumaliza degree na kuuza mahindi au kazi za umachinga ni kujidhalilisha

Unasoma tokea huko shule ya msingi, sekondari, form 5 na six chuo kikuu unamaliza degree yako halafu unakuja kuwa mchoma mahindi, umachinga, kutembeza vitu, kuchimba mitaro na kazi za sulubu huko ni kujidhalilisha

Hizo ni kazi za kufanya waliokataa kusoma wakaishia la saba au walokomea form 4

Kwasababu ulimaliza la saba au form 4 na ulikua unasoma kwa bidii na kuna wana uliwaacha kitaa wao hawakua na time na shule then eti baada ya miaka mingi ya kusota kielimu unakuja kuwa sawa nao tu tena ajabu wanakuja kukuajiri na unakuta wamekuzidi

Sasa kuna mantiki gani ya elimu?Kama elimu yetu haimkomboi kijana kwanini tungangane nayo

Tulipaswa tuwe na elimu ya vitendo zaidi na stadi za maisha itakayomuandaa mtu akimaliza hata asipoajiriwa awe anajua nini cha kufanya tumekomaa na elimu za theory za what is communication verbal na non verbal sijui gesture sijui ninini

Japo kutegemea kuajiriwa sio jambo zuri lakini inauma mtu asome kwa bidii ajinyime kila kitu wazazi wauze hadi viwanja mashamba na ngombe mtoto aende shule halaf mwishowe wanakuja kuwa sawa na mtoto wa mama Mwajuma ambaye aliishia la saba B tu akaamua kujiingiza mtaani tokea akiwa na 14 years huko

Wasomi wengi wanapata msongo sana, maana huishia kuchekwa mtaani utaishia wanasema "kiko wapi sasa alikua anajifanyaga kusoma kwa bidiii na kupata one kiko wapi sasa?"

Serikali ijifunze kwa kikwete alifanyaje kupunguza tatizo la ajira.....Kwa kua hii mitaala mibovu ya theory ina baraka za serikali basi serikali ihakikishe watu wake wanaajirika na kupata ajira
Kwakweli, everyone should be responsible for their actions.....same na serikali
 
Inategemea umachinga unao define wewe ni huu wakutembeza vinguo viwili vitatu barabarani au kuwa na kiduka cha kawaida.Umachinga upo wa hali ya chini,kati na juu.Mimi naona inatengemea unataka kuwa wa juu au kati bado ni applicable kwa mtu mwenye degree kwani hata kuwa agent wa viwqnda vikubwa duniani bado ni umachinga but in different level.Mfano kuwa na kituo cha mafuta na unauza mafuta usioagiza wewe ,huo ni umachinga but in different version.Mimi mchaga hata niwe na PHD lazima niganye umachinga lakini kwa level ya juu
Umachinga unajulikana wazi.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Kazi ni kaziii Muraaaa,achana na usomi,ama bwembwe zingine pigaaa kaziii muraaa😁
 
degree holder anatakiwa afanye biashara inayoendana na elimu yake like starting a company na sio kuchoma mahindi kwanza hata yeye hatokuwa normal maana tayari anajua ame mrsuse elimu yake.
 
Upatikanaji,mitaji,iwe kwa mikopo na mazingira wezeshi ya biashara yameandaliwaje,ama bumu linakupa jeuribila kujua utaenda kulilipa kwa mateso,bila kujali kakipato kako,pindi umepata kaajira ka laki 3😁
 
Kijana kumaliza degree na kuuza mahindi au kazi za umachinga ni kujidhalilisha

Unasoma tokea huko shule ya msingi, sekondari, form 5 na six chuo kikuu unamaliza degree yako halafu unakuja kuwa mchoma mahindi, umachinga, kutembeza vitu, kuchimba mitaro na kazi za sulubu huko ni kujidhalilisha

Hizo ni kazi za kufanya waliokataa kusoma wakaishia la saba au walokomea form 4

Kwasababu ulimaliza la saba au form 4 na ulikua unasoma kwa bidii na kuna wana uliwaacha kitaa wao hawakua na time na shule then eti baada ya miaka mingi ya kusota kielimu unakuja kuwa sawa nao tu tena ajabu wanakuja kukuajiri na unakuta wamekuzidi

Sasa kuna mantiki gani ya elimu?Kama elimu yetu haimkomboi kijana kwanini tungangane nayo

Tulipaswa tuwe na elimu ya vitendo zaidi na stadi za maisha itakayomuandaa mtu akimaliza hata asipoajiriwa awe anajua nini cha kufanya tumekomaa na elimu za theory za what is communication verbal na non verbal sijui gesture sijui ninini

Japo kutegemea kuajiriwa sio jambo zuri lakini inauma mtu asome kwa bidii ajinyime kila kitu wazazi wauze hadi viwanja mashamba na ngombe mtoto aende shule halaf mwishowe wanakuja kuwa sawa na mtoto wa mama Mwajuma ambaye aliishia la saba B tu akaamua kujiingiza mtaani tokea akiwa na 14 years huko

Wasomi wengi wanapata msongo sana, maana huishia kuchekwa mtaani utaishia wanasema "kiko wapi sasa alikua anajifanyaga kusoma kwa bidiii na kupata one kiko wapi sasa?"

Serikali ijifunze kwa kikwete alifanyaje kupunguza tatizo la ajira.....Kwa kua hii mitaala mibovu ya theory ina baraka za serikali basi serikali ihakikishe watu wake wanaajirika na kupata ajira
MOJA ya Tabia ya kijinga ya CLASSICAL EDUCATION NI kubagua kazi.yani MTU mwenye degree hapa bongo anaona kuchoma mahindi NI KAZI ya kijinga,Bora alale hapo kwa mjomba kwenye Kochi asubuhi mpaka jioni BILA hata kuingiza mia.mwenzake anachoma mahindi ana mke na watoto na kajenga kibanda chake.
 
Vile vile, mmachinga mwenye degree atamzidi sana mmachinga std 7. Sababu ya hiyo degree.
sio kweli, mwenye digrii atapitwa kwasababu atakuwa anajistukia labda uniambie wawili hao wapate milion 500 kila mtu kama mtaji hapo mwenye degree atatoboa.
 
Umachinga unajulikana wazi.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Mimi na Masters yangu nilianza umachinga wa kuuza vitambaa na nguo za wanawake bila kampuni.Sasa nina magodown na biashara nyingine.Mimi huwa nawashauri waanze mdomdogo hata kwa kuuza vitu vidogo vidogo ndio vinalipa na ukiwa na displine unafika mbali huku ukijifunza na kuwa supplier mkubwa.Mimi ni mtazamo wangu tu
 
Mkuu kwamba ujaelewa anaongelea umachinga wa level gani au
Umachinga ni umachinga tu.Approach au jinsi ya kuufanya ndio tunatofautiana kutokana na level ya elimu na uelewa wa biashara.Kuna anayefanya kwa kutandaza chini,kwa kutembeza au kwa mtandao.
 
Back
Top Bottom