Kijana: Epuka UKIMWI ili usidharaulike

Mwerevu akiona mwanamke anaji expose (anavaa mavazi ya mitego) anajua hapa hatari maana huenda atakuwa cha wote

Yani wewe unazani huyo mwanamke wewe ndiyo utaanza naye?!

Hujiulizi kwa wepesi huu wa kujigonga kwako ameshajigonga kwa wangapi?

Adui amepofusha macho yenu na fahamu zenu?!

Basi tumrejee Mungu kila mtu kwa Imani yako, tukatubu makosa yetu na kujitahidi kuishi kwa kushika maagizo yake hiyo itasaidia sana kuepuka uovu.

Maana imeandikwa :
“Kwa kumcha Mungu watu huepuka uovu”

Na kumcha Mungu siyo kwenda kwanisani/msikitini halafu ukirudi kwenye jamii matendo yako ni yale yale maovu!

Kumcha Mungu ni kumuogoma Mungu sana na kujitahidi kuyashika maagizo yake wakati wote na popote siku zote.

Nawatakia kheri ya Mwaka mpya 2020


Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nimekuelewa Mkuu kwa ujumbe huu!

Ni swala la kufanyia kazi ujumbe kama huu kila wakati na kwa namna zote!

Kukumbushana kama hivi yafaa sana!
 
UKIMWI ni upungufu wa kinga mwilini dawa yake ni kuziongeza kinga mwilini

hebu tuanze kutumia akili vijana na kufikirisha ubongo haiwezekani ukimwi uletwe na wazungu na wao hao hao wakuletee dawa

alafu watu wanaweza kupaa paka mwzini huko na kufanya mambo ya ajabu, teknolojia imekua Kwa kiasi kikubwa hivo alafu washindwe kweli kupata dawa ya ukimwi Kwa miaka zaidi ya 30 sasa

lazima kuna jambo linafichwa na haliko sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hujui kama UKIMWI ni Mradi mkuu? wenzio wamewekeza uko wanapiga pesa chafu mno...sio kwamba dawa haipo seme ndo ivyo tena
 
Ukimwi unawacheki tu mnavyoupondea humu ila mkifika vyumbani na haja zenu mna sahau kila kitu, mnaanza kupiga story na ukimwi.
 
Back
Top Bottom