kijana aliyechomwa moto South Beach Kigamboni

abelani

New Member
Apr 21, 2011
1
0
Hivi kuna ubaya gani wakazi wa kigamboni wakilipua hoteli ya south beach? au kuna ubaya gani watanzania tukisusa kwenda South Beach? au wafanyakazi wa south beach wakigoma? au kuna ubaya gani wachawi wa kigamboni wakiacha kuwaroga wabongo wenzao wakamroga huyo mwenye hotel akawa chizi?....
 
Hakuna ubaya wowote yote hayo yakifanyika.Tumechoka na walevi.
Yule kijana aliyekufa maskini badala kurudi nyumbani kulala baada pirika kutwa nzima anakwenda kulewa.Yaliyomkuta wala si ajabu eneo kama lile.
 
Back
Top Bottom