Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

SeacliffKuna rafiki yangu lawyer kwenye NGO moja hapa NY ambayo yule dada Lisa Rockefeller ni board member, amenidokeza kuhusu issue ya huyu dada na yule kijana wa Bumbuli – January Makamba. Hii issue imemkera sana huyu dada na anaichukulia serious sana. January na Lisa walikuwa na uhusiano mzuri sana ambao ulishamiri zaidi wakati alipokuwa Marekani kwenye safari na JK ya kuonana na investors na donors. Lisa pia ndiye aliye-organize na rafiki yake wa "The Economist" kuandika ile piece ya January Makamba ambayo ilikuwa na objective ya kumsaidia kukuza profile yake kwenye kampeni. Kwa Lisa, January alionekana ni mtu progressive anayependa maendeleo na quite possibly future leader wa Tanzania. Wakati Lisa alipokuja Tanzania mara ya mwisho akakuta mradi aliotolea hela nyingi kule Mbeya haujafanyika, wakati alipewa guarantee na rafiki yake January kuwa hela hiyo itatumiwa kwenye huo mradi, alikuja juu na kudai accountability. January apparently akamjia juu na kumtishia kuwa yuko Bongo asilete ukoloni wa Kimarekani. Apparently, alimpa threats nyingi zaidi na kwa sababu ya hizo threats dada Lisa alizipeleka nyumbani na familia ikapiga simu Homeland Security. Ilibidi wamarekani wa-launch formal investigation ambayo mpaka sasa inaendelea. Kuna matisho aliyoyatoa January bila kufikiria madhara yake na huyu dada akayachukulia serious na kwa hasira sana. Kumbuka yeye alikuwa anategemea appreciation huku na quite honestly sidhani kama alikuwa na mambo mengine mengi zaidi ya kusaidia. Sasa hiyo ndiyo inasemekana imemfanya Mkulu ashindwe kumpa ule uwaziri ambao kijana alikuwa ana uhakika wa kuupata. Kuna habari pia kwamba kijana January amewekwa kwenye list mbaya ya Homeland Security na itakuwa vigumu sana kusafiri huku mpaka hii issue iwe cleared.

Hivi Seacliff haya uliyatoa wapi??
 
Kwa mtindo huu, tanzania yenye neema tunainyemelea. Hongera mbunge wetu kijana na fuata nyayo za wabunge vijana!
 
kijana anataka nafasi ya ngeleja hapo,kwa mchezo wao wa paka na panya inawezekana wameshakosa imani na ngeleja kama ana nguvu ya kuwatetea ipasavyo hadharani,now wanataka kumsulubu
 
Nani ana hati miliki ya kero za ufisadi na uongozi mbaya?
Tumuazime hii hoja kwa Muda
 
huyu dogo anatafuta uwaziri kwa nguvu sasa ameamua kudil na ngeleja waache wapambane yetu macho


Mkuu tatizo la watanzania wengi linakuwa hapo kwenye RED. Mtu akitetea maslahi ya nchi utasikia:-
  1. Anatafuta cheo
  2. Katumwa
  3. Ana wivu kwakuwa hajapata hii nafasi
  4. Anataka jimbo langu
  5. ........ nyingine wengine wamalizie
Lakini ukweli utabaki pale pale kuwa Kijana kafanya alichotakiwa kufanya kama mwakilishi wa wananchi. Ni jukumu letu kama watanzania kufanyia kazi aliyoyasema January Makamba.

MUNGU IBARIKI TANZANIA!


 
remind us of a day when CCM and it's affiliates stood up and said something genuine and useful.

this is mind game at it's most baby.

hatujaisahau ile namba ya Finland ----- +3588976578

easy man, mmoja mmoja anaweza akajisahau akasema la maana kwa bahati mbaya bana!
 
January Makamba hana lolote baali anapiga siasa tu na kutafuta umaarufu. Yeye ni mmoja ya wababaishaji ndani ya Chama Cha Mafisadi-CCM.
Hii ni kujaribu kutengeneza mazingira ya kuwafanya Watanzania wawe na Imani na CCM which is too late. Yote hii ni danganya toto.
Upinzani wa kweli na hoja za mashiko ziko CHADEMA.

Tusiamini kuwa mbunge wa chama cha upinzani ndiye mwenye machungu pekee na nchi yake. Hii ilionyeshwa katika bunge lililopita na wote tunakumbuka.

Au mkuu umesahau kama si msimamo wa akina; Anna Kilango, Sendeka, Slaa, Zitto, Hamad, na wengine wachache Hata leo hii Lowassa angekuwa waziri mkuu hata baada ya ile ripoti ya Mwakyembe kusomwa!

Si kweli kwamba wote hao hapo juu walikuwa Chadema, Cuf na Udp.

Namalizia kwa kusema; Si sahihi kuamini kwamba wabunge wote wa ccm hawajali maslahi ya nchi.

 
Like Father like son, Hawana mchezo hawa wagosi. Ndio wameanza kuleta mabadiliko ndani ya chama. Lakini supika atamlinda.
 
Like Father like son, Hawana mchezo hawa wagosi. Ndio wameanza kuleta mabadiliko ndani ya chama. Lakini supika atamlinda.

...Unajuaje kama ni mwanae?

...Tuache ushabiki wa kisiasa kama ule wa bungeni leo. Tujadili hoja hii yenye kuona mbali na inayoitisha uwajibikaji ndani ya serikali.
 
Whether ni kwa kusukumwa na dhamira ya kweli au kwa unafiki hoja ya Makamba Jr ni ya muhimu. Tatizo ni kwamba hana mamlaka ya kumuamuru WAziri kuwasilisha hoja au kauli bungeni. Kwa hiyo pamoja na uzito wa hoja alizotoa; zitaishia kabatini tu.

...Hazijaishia kabatini. Tunazijadili hapa, right now. Au haujashtukia hilo.
 
Tusiamini kuwa mbunge wa chama cha upinzani ndiye mwenye machungu pekee na nchi yake. Hii ilionyeshwa katika bunge lililopita na wote tunakumbuka.

Au mkuu umesahau kama si msimamo wa akina; Anna Kilango, Sendeka, Slaa, Zitto, Hamad, na wengine wachache Hata leo hii Lowassa angekuwa waziri mkuu hata baada ya ile ripoti ya Mwakyembe kusomwa!

Si kweli kwamba wote hao hapo juu walikuwa Chadema, Cuf na Udp.

Namalizia kwa kusema; Si sahihi kuamini kwamba wabunge wote wa ccm hawajali maslahi ya nchi.


Yeah lakini si HAWA!!!! WAJIFUNZE KWA MAKORONGO Nyreee...huyohuyo..... KABLA HAJARUBUNIWA NA VIJISENTI!!!
 
Aache unafiki mbona hakuongea alipokuwa ikulu,anachotafuta ni sapoti ya umma kwa maana jahazi lao limeanza kuzama
 
inawezekana kabisa hizi hekma kazipata baada ya kuchati kwa msure wake kwanza. hongera kijana lakini isiwe unadandia hoja za watu katikati ili ujichotee ujiko kisiasa.
 
...Watu wanakimbilia kumtrash Mbunge kwakuwa alifanya kazi karibu na kikwete na Babake ni Makamba. Wamesahau kuwa kitu cha muhimu ni kile kilichoandikwa kwenye barua yake kwa Waziri wa Nishati na Madini.

...Tuwe wakweli, kuna a lot of crap zinajadiliwa humu na kuchangiwa kwa nguvu zote, ila pale inapotokea issue ya muhimu na nzito watu wanaanza kuangalia nani kaiandika na kuanza character assassination. Time is wasted on a lot of non issues na kuacha mijadala ya makini kupotea usoni mwetu.

...Lets embrace the true JF spirit and be Great Thinkers.
 
Back
Top Bottom