Kiini cha tatizo la MAFUTA hiki hapa

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Wewe juzi kati tu hapo umewavua watu magamba tena kwa kasi mpya. Sasa na wale waliovuliwa magamba ni mafisadi papa tena kama yule wa kanda ya kati pale anamiliki vituo kibao vya mafuta , sasa anataka muitambue nguvu yake ya utajiri alionao.

Hata hapa Kibaha hali si shwari, hakuna mafuta kabisa. Hii yote inasababishwa na mafisadi waliovuliwa magamba hivi karibuni !
 
Ebu fafanua vizuri na achana na longolongo. Watz wengi wako gizani. Hawajui chanzo nini hasa kwenye hili tatizo la mafuta na hata mgawo wa umeme. Je, ni kweli hawa jamaa wanapata hasara? Au danganya toto ili waendelee kumsyphone Mtz hadi damu? lkn nimesoma hapa kuwa Hata Mkuu wa Kaya naye ana vituo vyake. Hapo vp?
 
Back
Top Bottom