Kiingereza kilishawagomea ndugu zetu wa kusini, hata kwenye hafla za kitaifa

Wrong! Nyerere hakuleta Kiswahili Tanzania wala hakuwaambia Watanzania wajifunze Kiswahili, Mwalimu Nyerere amezaliwa amekuta Kiswahili kinatumika Tanzania kila mahali hata wakati wa Ukoloni wote Ujerumani na Uingereza Kiswahili kilikuwa kinatumika kila mahali, hivyo sababu ya Watanzania kuongea na kutumia Kiswahili siyo Mwalimu Nyerere.

Kiswahili ni Lugha yetu, ni Urithi wetu na ni sehemu ya Utamaduni wetu!

Hamna sehemu mwenzako hapo amesema Nyerere alileta Kiswahili, alichofanya ni kukipigia debe kikawa lingua-franca, Kiswahili kilikuwepo kabla ya ujio wake, kilibuniwa huko Pwani kwa kuchanganya Kiarabu na lugha za wabantu.
 
Hata wewe bado hauelewi Historia ya Tanzania, Kiswahili kilikuwa ni lingua franca ya hili eneo letu tunaloliita Tanzania ya leo tangia enzi za Ukoloni kabla hata Mwalimu Nyerere hajazaliwa, Lugha ya kufundishia Shule za Msingi wakati wa Ukoloni wa Ujerumani ilikuwa ni Kiswahili, na ndio maana hata Kiswahili kina baadhi ya maneno ya Kijerumani mfano neno Shule ni Kijerumani, sekunde (time) ni Kijerumani pia makarani wote na wafanya kazi wengine walikuwa wanatumia Kiswahili na walifundishwa kwa Kiswahili, na hata Kanisa lilichukuwa Lugha ya Kiswahili kwenye liturjia yake na hii siyo sababu ya Mwalimu Nyerere, alikuta hivyo na hakuwa na jinsi bali kukiendeleza pia!
 
Yaani tu yaani...

img-20220523-wa0228-jpg.2236393
Kukosea lugha ya watu wengine sio tatizo, ila kukosea lugha yako ya asili hilo ni tatizo
 
Sasa mbona ung'ang'anie kutumia lugha ya watu kwenye hafla ya kitaifa, ilhali unajua lugha yenyewe ni chenga kwako, unaishia kutia aibu.
 
Hata wewe bado hauelewi Historia ya Tanzania, Kiswahili kilikuwa ni lingua franca ya hili eneo letu tunaloliita Tanzania ya leo tangia enzi za Ukoloni kabla hata Mwalimu Nyerere hajazaliwa, Lugha ya kufundishia Shule za Msingi wakati wa Ukoloni wa Ujerumani ilikuwa ni Kiswahili, na ndio maana hata Kiswahili kina baadhi ya maneno ya Kijerumani mfano neno Shule ni Kijerumani, sekunde (time) ni Kijerumani pia makarani wote na wafanya kazi wengine walikuwa wanatumia Kiswahili na walifundishwa kwa Kiswahili, na hata Kanisa lilichukuwa Lugha ya Kiswahili kwenye liturjia yake na hii siyo sababu ya Mwalimu Nyerere, alikuta hivyo na hakuwa na jinsi bali kukiendeleza pia!
Acha chuki za kijinga kwa Mwalimu Nyerere, Mwalimu kwa asilimia kubwa ndie amechagiza kutumika kwa lugha ya kiswahili Tanganyika...mpaka sasa hivi ukiingia usukumani ndani huko kuna watu bado kiswahili kinawapiga chenga, je 1960 hali ilikuaje?...Juhudi zake kubwa za kuunganisha makabila, kuweka somo la kiswahili mashuleni na kufundisha elimu ya msingi mashuleni, kuweka redio na magazeti ya kiswahili na kutumia kiswahili kama lugha ya mawasiliano maofisini kulifanya Kiswahili kikue kwa haraka.
 
Sasa mbona ung'ang'anie kutumia lugha ya watu kwenye hafla ya kitaifa, ilhali unajua lugha yenyewe ni chenga kwako, unaishia kutia aibu.
Sio mimi ni hao uliowaleta hapa, ila ndio nakuambia kuwa sio habari kubwa kukosea lugha za wageni, ila kukosea lugha yako ndio jambo la kushangaza
 
Lkni saizi wachache wameanza kuikumbatia na wanaongea na kuielewa..Ila si mbaya kuyajua lugha tofauti tofauti
 
Hivi si juzi juzi tu nyie wataalam wa kiingereza mlifeli ama waliofanya ule mtihani wa lugha walikua kina nani?
Uyu ni wa wapi,ukitaka kusafiri kuelekea nchi za ughaibuni km Uk na marekani kwa suala la ajira kwa umma/nurses lzma uwe na io certificate ya english test na uwe fluent naye...uwezi toka ivi ivi kaa mburukenge ujielewi ati unaenda kuajiriwa,utawaongelesha wagonjwa aje na wananchi..
 
Stick to kiswahili
Ata majina zenu unapata mtu anaitwa Joseph John Brian Kadogosa!!
What's that!
Kulamba mzungu matako!!
Hilo jambo huwa linanishangaza sana na kunisikitisha pia. Sijui kwanini watanzania huwa wanaona sifa kuitwa majina kama hayo. Hata wazungu wenyewe hutawapata wakiitwa majina kama Jane John mara sijui Peter James. Yaani ni zaidi ya utumwa.
 
Stick to kiswahili
Ata majina zenu unapata mtu anaitwa Joseph John Brian Kadogosa!!
What's that!
Kulamba mzungu matako!!
Kuna mda una jifunza kwa ajili ya mawasiliano, dunia imekuwa kijiji kwahiyo sio tatizo kukosea maana sio yako
 
Hata wewe bado hauelewi Historia ya Tanzania, Kiswahili kilikuwa ni lingua franca ya hili eneo letu tunaloliita Tanzania ya leo tangia enzi za Ukoloni kabla hata Mwalimu Nyerere hajazaliwa, Lugha ya kufundishia Shule za Msingi wakati wa Ukoloni wa Ujerumani ilikuwa ni Kiswahili, na ndio maana hata Kiswahili kina baadhi ya maneno ya Kijerumani mfano neno Shule ni Kijerumani, sekunde (time) ni Kijerumani pia makarani wote na wafanya kazi wengine walikuwa wanatumia Kiswahili na walifundishwa kwa Kiswahili, na hata Kanisa lilichukuwa Lugha ya Kiswahili kwenye liturjia yake na hii siyo sababu ya Mwalimu Nyerere, alikuta hivyo na hakuwa na jinsi bali kukiendeleza pia!
Kwa hivyo unavyojaribu kutuambia ni eti Mwalimu Nyerere hakutoa mchango wowote kukifanya Kiswahili kitie mizizi huko Tanzania?
 
Back
Top Bottom