by the way nani alikuwa waziri wa madini aliyesimamia mchakato wa kuanza mgodi huu?
good swali, ikiwa ni lazima kuanza kudeal naye kwanza
by the way nani alikuwa waziri wa madini aliyesimamia mchakato wa kuanza mgodi huu?
Kuna mambo mengi sana kuhusiana na huu mgodi wa Golden Pride ambayo wapiga kura wa Nzega wamekuwa wakiyalalamikia kwa zaidi ya miaka kumi na tatu sasa, na haya mambo yanajulikana kila ngazi ya watendaji wa serikali na hakuna jitihada za kuyatatua...mimi Muwakilishi wao nimeamua kuyafuatilia na kwa hakika sintowaangusha wanaNzega wenzangu...nitayafuatilia mpaka pale nitakapoona yanatatuliwa la sivyo hapatatosha Bungeni!
Hivi juzi, baada ya utafiti wa muda mrefu, nimekabidhi kwa Katibu wa Bunge kusudio la kuliomba Bunge lipitishe azimio la kuufunga mgodi huo kwa kuwa hauna manufaa kwa Taifa, pamoja na mambo mengine mengi!
Kuleta mapinduzi ya kifikra siyo lazima uwe upinzani; wengine tunaamini katika kuleta mabadiliko 'from within the system' na there is plenty you are yet to see from people like me...naanza na hili na kuna mengi yapo njiani! Na siyo lazima kila mtu mwenye fikra mbadala basi ajiunge na CHADEMA...
Stay put,
HK.

teh teh kingangwalla md, mph,mba ndo nini?!!!twambie na gpa zake basi!!

HK,
Wazo na strategy yako kuhusu maslahi ya wananchi wa Nzega na taifa kwa ujumla inawezekana ni nzuri lkn fanya uchunguzi wa kina na ujiridhishe na majibu ya uchunguzi wako kuwajua wale wote wanaohusika na mgodi huo otherwise utadondoshwa kisiasa kama wale waliokutangulia! Vuta subira kwani bado kuna muda mwingine ambao utaweza kupeleka hoja binafsi au vinginevyo lkn si kukurupuka na kuanza kushupalia hayo masuala ya dhuluma kwa wananchi yaliyodumu kwa miaka 13 sasa.