mtz one
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 4,274
- 1,210
mbona watoto tupu?picha huzioni...
mbona watoto tupu?picha huzioni...
Huo umati ndio wa wanakigoma? Mbona idadi ni ndogo kulinganisha hata na mkutano wa Kafulila jimboni mwake?
Tutaenda kupiga kura. Tutalinda kura., Tutawaadhibu watakao thubutu kuchezea masanduku ya kura na kuchelewesha matokeo ya kura kwa kutaka kuiba kura. Tutakuwa wakali kama nyigu...hatutaki tena upuuzi wa magamba. Dr. Slaa ndiye Rais 2015.
kaskazini ya wapi mkuu?
tumaini hii ndio nyomi ya watu?? mmefilisika aisee inabidi mzibwe kwa viraka lol babu kwisha kazi kwa chuki zake kwa waislamu ndani ya chadema
mbona watoto tupu?
Yeah! Rais wa Mtei's family! Maana hata Tff kuna Rais, hata vyuoni kuna Rais, Lakini hawezi kuwa wa jamhuri ya muungano wa tanzania! Ataishia kuona Magwaride yakikaguliwa tu hatakaa akague hata moja,labda la redbrigedi!
mbona watoto tupu?
Mwanzo si mlisema asikanyage Kigoma? tehe tehe, aibu yenu waganga njaa, wanaume wazima mnaishi kwa kutegemea wanaume wenzenu wa Magamba
Juliana Shonza alifukuzwa chadema kama mbwa!
Kwani ule mkakati ulikuwa unahitaji majibu au ulikuwa kwa ajili ya utekelezaji wa waandaaji?chadema jibuni hoja zilizopo kwenye mkakati wa mabadiliko 2013 acheni kuweweseka
Kigoma mjini, Uwanja wa Community Centre, huyo ni Meya wa Kigoma Ujiji akitoa taarifa ya halmashauri inavyowatumikia wananchi kwa utofauti na CCM mbele ya Katibu Mkuu Dkt. Slaa.
View attachment 126120
"Slaa Ahutubia watoto Kigoma"-Tanzania Daima 12/12/2013
Picha inaonyesha wananchi wamejawa na hofu sana! Nadhani Redbrigade imewatishia kuwa chacha wangwe!