kigoma upweke- ladies only

Free 4 Life

Member
Mar 1, 2011
19
3
wanajamii niko ndani ya kigoma ila mpweke sana hebu ajitokeze binti mmoja wa kunipa company ani pm tafadhali walah ataenjoy
 
Kampani gani unahitaji?
kuzungurushwa mjini
Kupikiwa migebuka
au unamaanisha (.....................):eek2:
 
haya wa kasulu na vitongoji vyake, maombi yamejibu! fanyeni fasta kabla nafasi hazijajaa, lol!
 
mi nipo Kasulu kesho nitakuwa Ibanda...tuonane wapi na saa ngapi....?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom