Kigogo wa TFA miaka nenda rudi Elias Mshiu Afukuzwa kazi.

Inasemekana alikuwa akitembelea "Range Rover, Sport" Eti ndio gari la ofisi. Uzunguni hapa Arusha kajiuzia nyumba tatu....

kumbe hata bongo kuna akina Mugabe.
 
Hizi taarifa ni mpya juu ya kigogo wa muda mrefu wa TFA kufukuzwa kazi. Amekuwa TFA toka enzi za Mwl Nyerere mpaka miaka hii ya Kikwete.

Inasemekana yeye alikuwa Mkurugenzi na pia Mwenyekiti wa tfa na amejilimbikizia mali za kutosha.

Mandla, kutoka Arusha.

Nani amechukua nafasi yake? Mtu mmoja anaitwa Mawenya?
 
Inasemekana alikuwa akitembelea "Range Rover, Sport" Eti ndio gari la ofisi. Uzunguni hapa Arusha kajiuzia nyumba tatu....

kumbe hata bongo kuna akina Mugabe.

Heshma kwako.
Nakanusha! Anatembelea VX flan za kawaida tu-la dark bluu hv. Ni kweli ilikua ya TFA eventually akalinunua. Uzunguni alijiuzia nyumba 1. Wanahisa wenzie wanataka airushe. Hakujiuzia kihalali.
 
Hata mie nashangaa. Nilijua shirika hili limejifia kama SU zingine.

Salaam.
TFA haijawahi kuwa SU (imeanzishwa 1935 km sikosei-nilikua mtoto!!). Ni kampuni ingawa wanaiendesha kama ushirika. Labda ndo maana haiskiki sana isipokua kwa wanahisa wake.
 
Duh Mshiu ana makalio makubwa utadhani mwanamke.Mimi nilidhani TFA ni mali yake ebu niwekeni sawa.

Salaam.
Ye ni mmoja tu wa wanahisa. Sio majority wala! TFA ina wanahisa zaidi ya 4000, ila wengi wao marehemu (watu binafsi na taasisi).

Ameanzia kazi hapo kama mesenja akiwa tineja akakomaa hadi uenyekiti na ukurugenzi wa bodi! Hana historia kuajiriwa kwingine. Enzi zake ukim-cross na kama haujimudu lazima uikimbie arusha! Alikua 'hustler' fulani ila si tajiri wa kiviile.

Kwa yaliyomtokea hivi majuzi, kweli hakuna lisilo na mwisho. Kitambo alijigamba sana kuwa na mtandao wa watu wa serikalini hasa UWT akaogopeka sana na waliokua kwenye circle zake.
 
Nani amekudanganya mshiu sio tycoon? ?? Umeshaenda kwenye ranch yake ya pale usa river? ? Huyu jamaa ana hela balaaa. Yaani amejitajirisha mnoo na hicho chama cha wafanyakazi.

Sheria ya rushwa hii ya karibuni ingekuwa na mtu wa kuisimamia huyu angekamatwa aeleze hizo mali kapataje.

Hicho unachoita ranchi ni shamba dogo tu (eka chini ya 30) lenye nyumba km 3 hv nzuri na mifugo michache. Sifahamu biashara zake zingine zaidi ya nyumba chache sana za kupanga za kawaida Arusha & Moshi na baa aloshindwa kuiendesha Arusha-kwa hayo, sio tajiri kiviile! Sana hela yake ya matanuzi aliitoa hukohuko TFA, kama unavyosema.
 
Ukitaka kujua kwamba chalie ni tajiri. fika pale usa river uone nyumba wanazopanga waalim na wanafunzi wa tumaini. Nyingi sana ni za huyu chalie. Tatizo sasa umri nao umesogea sijui atazitafuna hizi pesa alizowekeza siku gani. Ninauhakika kugegeda hawezi labda atumie ulimi yaani kwenye munyu. bia hawezi maana anakukari. nyama choma hawezi maana meno yote ni ya bandia. sasa nini maana ya wizi ?? i ask you..
 
Salaaam.
Usa wanaomiliki sehemu kubwa ni kina Maeda na Lyimo. Huyo mzee ana shamba tu. Hayo mengine kwakweli ni ya ndani zaidi ila kwa stori za mjini bado anapiga totoz sana tu! Labda wanamfata kuona lile haga!! Nyamchom anazila hadi leo na ana mchomaji wake mmoja tu yuko CET garden kama wapajua.

Yote kwa yote, amezeeka na enzi zake zimepita. Hana tena ufuasi, nguvu wala utajiri. Shida ni kuwa hajakubali hilo na akiendelea yatamkuta mengi zaidi.
 
Nani amechukua nafasi yake? Mimi naitaka hiyo kazi.
 
Kwasasa kuna 'interim board' mwenyekiti wake anaitwa Menard Swai-huyu kama sikosei ni meneja mkuu wa KNCU!! Ili uwe mwenyekiti au mkurugenzi TFA inabidi uwe mmoja wa wanahisa/wanachama. Kuna walosema hapo juu kama unataka hisa za TFA uwa-pm. Jiandae na mizengwe though!
 
Back
Top Bottom