Kigogo wa CCM Aishushua CCM Arumeru

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Jana usiku nilifurahi sana. Nilikuwa natazama Mlimani TV mtangazaji alikuwa anapita maeneo mbalimbali kuzungumza na wananchi. Alifika mahali fulani akamhoji mjumbe wa CCM. Alinikuna sana kwa maneno yake. Alionyesha visima vyenye vyura na akachukua kabisa chura akaonyesha na kusema hapo ndio CCM ilipowafikisha. Akasema maji yamepelekwa kwenye mashamba makubwa na wananchi wanakunywa maji machafu sana. Akasema CCM iliwaahidi muda mrefu kupeleka maji lakini hakuna lililo fanyika. Alinikuna zaidi aliposema CCM wanakuja hapa wanasema viongozi wa ccm tuwaokoe lakini itakuwa ngumu kwani watu wana shida nyingi lakini muda wote huo CCM hawajafanya chochote na wanavyojaribu kuwaambia wananchi waichague CCM wanakosa hoja za kutetea.

My take: kama hao ndio viongozi wa CCM wanasema hivyo kazi ipo.
 
Unavyodhani wewe nani aliyetimamu awezaye kuitetea ccm au kuishangilia kwa lolote? Wenye nayo hawaitaki, nani mwingine ataitaka?
 
Jana usiku nilifurahi sana. Nilikuwa natazama Mlimani TV mtangazaji alikuwa anapita maeneo mbalimbali kuzungumza na wananchi. Alifika mahali fulani akamhoji mjumbe wa CCM. Alinikuna sana kwa maneno yake. Alionyesha visima vyenye vyura na akachukua kabisa chura akaonyesha na kusema hapo ndio CCM ilipowafikisha. Akasema maji yamepelekwa kwenye mashamba makubwa na wananchi wanakunywa maji machafu sana. Akasema CCM iliwaahidi muda mrefu kupeleka maji lakini hakuna lililo fanyika. Alinikuna zaidi aliposema CCM wanakuja hapa wanasema viongozi wa ccm tuwaokoe lakini itakuwa ngumu kwani watu wana shida nyingi lakini muda wote huo CCM hawajafanya chochote na wanavyojaribu kuwaambia wananchi waichague CCM wanakosa hoja za kutetea.

My take: kama hao ndio viongozi wa CCM wanasema hivyo kazi ipo.

Mkuu mtaje basi ili tufurahi kwa CCM kunangwa! wengine tuko mbali hiyo TV haifiki Kimanzichana
 
Mkuu mtaje basi ili tufurahi kwa CCM kunangwa! wengine tuko mbali hiyo TV haifiki Kimanzichana
Sikumbuki jina lake ila alijitambulisha kama balozi wa nyumba kumi CCM. kwa walioangalia Mlimani TV usiku watakuwa wameona vizuri
 
CCM ni kiziwi anayetembea barabara yenye magari mengi, muda wowote atagongwa na gari kwa ujinga wake.
 
mimi nilifiiri ni Mukama maana sijamsikia akisema chochote huku meru au nae kapigwa stop kama lowassa??
 
Mabalozi wamechoka kuitetea CCm kwani kila wanalosema wanaona halitekelezwi, wao pia wakiwa victims wa matatizo wanaona kuendelea kuitetea CCM ni sawa na ku-commit suicide.
 
Kiongozi gani huyo wa ccm? Mtaje kwa jina au nafasi yake

mi mwenyewe nilimsikia. alisema aliamua kujenga kisima kwa hela nyingi sana, karibia laki na nusu hata hivyo hayo maji yenye vyura hayawatoshi. alisema ccm wakipewa kura hawarudi tena hadi uchaguzi.
 
apovaa zile fulana tshirt kofia shat nk za ccm aliona tamu, asilalamike na hiyo chungu nayo aimeze.
 
... WaTanzania sote TUMESHAAMUA kwamba mambo yote ya ukombozi wa MTANZANIA kuondokana na MAFISADI ni kwa CHADEMA.

Je ni nani tena wa kutuzuia?????????????
 
Kiongozi gani huyo wa ccm? Mtaje kwa jina au nafasi yake

ni balozi wa ccm hata mimi nolimuona jana jioni mlimani tv. wananchi wote waliohojiwa walikuwa wana lalamikia serikali ya ccm.
 
Ilikuwa ni kitogoji cha Ngorika wahana maji ya bomba kabisa wanategemea maji ya mzee mmoja aliyechimba klisima shambani kwake lakini maji yana vyura sana.

Hali hiyo ilipelekea balozi akawa analalmika sana kuwa wamewachagua viongozi matokeo yake tunakunywa maji ya chura, anasema baadaya ya msiba ndiyo wanawaona viongozi wamekuja tena akamtaja mbunge wa kibaha amekuja kujock na shangingi lake eti wanataka kura kamind kweli.
 
Hata Mimi nilimuona Mlimani TV akashika chura kumuonyesha mwandishi akaogopa akamwambia usiogope anagalia ndio maji tunakunywa haya yamejaa vyura ni kweli alisema tunashindwa kutetea chama ,leo pia wameonyesha wananchi wanalalamika kwa miaka hamsini hawana zahanati wanasema wabunge wakichaguliwa hawarudi kwa kweli wana Arumeru wanajitambua
 
CCM imechoka sana..sasa inataka kufa na wananchi ni wakati wa wananchi kuikimbia CCM ili ife yenyewe.
 
Back
Top Bottom