Kigogo na kada wa chama cha wananchi (CUF) Wilaya ya Ilemela ahamia Chadema leo.

Kaseko

Senior Member
Feb 15, 2011
160
32
leo katika uzinduzi wa kampeni za mgombea wa CHADEMA kata ya Kirumba katika viwanja vya magomeni, aliyekuwa mgombea wa udiwani Kata ya Sangabuye kupitia CUF amerudi CDM kwa madai kuwa chama cha wananchi CUF kimesambaratika na hakina nguvu ya upinzani na kusimama kama chama cha upinzani na nguvu kama iliyonayo CDM. Amesema mabadiliko yanawekana endapo watanzania tutaunganisha nguvu ya pamoja kuing'oa CCM mwaka 2015 sasa ana imani kubwa na CHADEMA.
Katika hali ilisiyokuwa ya kawaida katibu wa CUF wilaya ya Ilemela alipanda jukwaani na kumuombea kura za ndio na kusema wagombea wengine ni wasindikizaji tu akiwemo mgombea wa CUF.
Alisisitiza na kusema mgombea wa chadema alikuwa CUF na mwana mageuzi wa kweli mtu anayejituma na kusikiliza wanyonge wenzake hivyo basi haini tena mgombea mwingine zaidi ya bwana Kahungu ambaye ni mgombea udiwani Kata ya Kirumba.
Uzinduzi umefana sana na wananchi wajitokeza kwa wingi.
 
Mkuu ongea binafsi nimejitoa ili nisionekane tu ni Pro CDM....Mkutano wa Kirumba leo ni zaidi ya Arumeru...Jiji la Mwanza linatikisika mpaka dakika hii...umeme ndo unazingua.
 
sikutegemea mtu kama Zitto katika uzinduzi wa leo awaulize wananchi wa kata ya Kirumba ni uchaguzi wa rais au diwani na wananchi wamesobwa na magari.
 
Supu huliwa ingali ya moto,CHADEMA tumieni hili jote vizuri,iliwakati wa kupoa muwe mmeshiba,yasije yaktokea ya CUF,sometimes nao walikuwa hot
 
Back
Top Bottom