Kigamboni haina maji inakuwaje yaliyopatikana yapelekwe mjini kabla ya wanakigamboni kupewa maji?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Ifike sehemu viongozi muwe na aibu jamani na wakazi wa kigamboni hata kama niwapole!

1. Wananchi wa kigamboni wanaishi kama digidigi kwenye pantoni na hakuna kiongozi hata mmoja anaeguswa na hilo
2. Mabanda ya abiria kwenye pantoni hayana viti lakini hakuna anaejigusa Si Temesa, Si LATRA, Si mbuge wala mkurugenzi

3. Vyoo kwenye mabanda ya pantoni kipindi cha MAGUFULI walifuta tozo, lakini sasa ni malipo ili abiria atumie choo lazima alipie tena akiwa ndani ya banda!
4. Abiria wa pantoni wanalipa na wapo wa kutosha lakini vivuko ni vibovu balaa na pachafu utafikili wanavusha mifugo (No standard)!
5. Hakuna mkakati rasmi wa kulinda utu na ustaarabu wa abiria.
6. Msaada wa AZAM TAX wananchi wanashukuru, lakini Hakuna taarifa rasmi kwa wananchi kwamba AZAM ametoa huduma hiyo kwa makubaliano yepi, je ana mkataba upi wa zawadi au tenda yake ni ya mda gani! Kajitolea au kaombwa kwa makubaliano gani (Tunashukuru lakini wananchi wapeni taarifa-Updates)
7. LATRA Wekeni ruti ndefu ya usafili kuunganisha kigamboni na kinondoni ili kupunguza msongamano kwenye pantoni
8. Ingawa tiba ya kudumu kabisa pale ni kuweka daraja la chini pale kivukoni katika muundo wa spiral - sea under pass!

Yote tisa kumi Sasa mnataka kuibua mgogoro mwingine wa ishu ya maji kwa makusudi kabisa

Tone la maji la kwanza kigamboni linapelekwa mjini wakati wakazi wa kigamboni hawana maji tangu Uhuru hii ni dharau iliyopitiliza!

Siyo kwamba napinga maji kuvushwa mjini hapana, lakini je Wakazi wa kigamboni wamepatiwa hayo maji yenyewe?

Mwaka 2019 kwenye kampeni ya vyoo bora, kigamboni ilikuwa ya mwisho kutokana na ukosefu wa mtandao wa maji majumbani.

Visima vya maji kigamboni ndo kwanza vimekamilika sasa, Wananchi asilimia 95% hawana maji inakuwaje unazindua mradi kwa kuelekeza maji mjini kabla ya neema hii kuwafikia wanakigamboni kwanza?

Kama hoja ni upungufu wa maji mjini, kwa uzito huohuo ifahamike wanakigamboni wao hawana maji kabisa!
IMG-20221029-WA0001.jpg
 
Kiukweli hii nchi tutamkumbuka sana sana Magufuli

Hayati alijitoa kwa kupigania na kuweka maslahi ya Watanzania mbele

Haiwezekani ndani ya miaka miwili tu tangu Hayati afariki eti ghafla tunaambiwa uhaba wa mvua, mitambo ya tanesco ni chakavu sana na kupelekea migao ya umeme, maji, bei za bidhaa na huduma ziko juu pía nk

Mamá Samia hii nchi ni kama imemshinda,, amefanya kazi na Hayati na njia zote za kudhibiti mianya ya ufisadi na za wapiga dili anazijua lakini kaamua kuwaacha wapige kwa urefu wa kamba zao bila kujali mateso tunayokabiliwa sisi wananchi

Sisi wananchi tunazidi kumuomba Mwenyezi Mungu atuletee Rais mwngne mwenye kariba na mfanano wa Magufuli
 
Ifike sehemu viongozi muwe na aibu jamani na wakazi wa kigamboni hata kama niwapole!

1. Wananchi wa kigamboni wanaishi kama digidigi kwenye pantoni na hakuna kiongozi hata mmoja anaeguswa na hilo
2. Mabanda ya abiria kwenye pantoni hayana viti lakini hakuna anaejigusa Si Temesa, Si LATRA, Si mbuge wala mkurugenzi

3. Vyoo kwenye mabanda ya pantoni kipindi cha MAGUFULI walifuta tozo, lakini sasa ni malupo ili abiria atumie choo lazima alipie tena akiwa ndani ya banda!

View attachment 2400944
Jiulize Mwanza maji kupata ya ziwa Victoria ni shida alafu Kahama,Nzega, Tabora yapo ya kutodha hii nchi
 
Kigamboni tumesahaulika sana tukipita darajani tunalipa nakwenye panton... panton sasa zimechokaaaa huduma pale ni mbovuuuuu kulipia kadi folen yake unaeza gaili kuvuka sasa kwenye maji visima viko kisarawe2 maji yanapita tu watu tunayaangalia tu ila sisi tunywe ya visima huh ni undezi ....inauma sana ..kigamboni kwa kweli km hatuna viongozi hivi cheka kigamboni nauli 1000 yaaa tupo tupo tu ...
 
Kiukweli hii nchi tutamkumbuka sana sana Magufuli

Hayati alijitoa kwa kupigania na kuweka maslahi ya Watanzania mbele

Haiwezekani ndani ya miaka miwili tu tangu Hayati afariki eti ghafla tunaambiwa uhaba wa mvua, mitambo ya tanesco ni chakavu sana na kupelekea migao ya umeme, maji, bei za bidhaa na huduma ziko juu pía nk

Mamá Samia hii nchi ni kama imemshinda,, amefanya kazi na Hayati na njia zote za kudhibiti mianya ya ufisadi na za wapiga dili anazijua lakini kaamua kuwaacha wapige kwa urefu wa kamba zao bila kujali mateso tunayokabiliwa sisi wananchi

Sisi wananchi tunazidi kumuomba Mwenyezi Mungu atuletee Rais mwngne mwenye kariba na mfanano wa Magufuli
Yaan
 
Kigamboni tumesahaulika sana tukipita darajani tunalipa nakwenye panton... panton sasa zimechokaaaa huduma pale ni mbovuuuuu kulipia kadi folen yake unaeza gaili kuvuka sasa kwenye maji visima viko kisarawe2 maji yanapita tu watu tunayaangalia tu ila sisi tunywe ya visima huh ni undezi ....inauma sana ..kigamboni kwa kweli km hatuna viongozi hivi cheka kigamboni nauli 1000 yaaa tupo tupo tu ...
Na mbunge yupo kazubaa tu
 
Kigamboni ipi kuna shida ya maji? Wakazi wengi kigamboni wamechimba visima vyao wachache ndio wanategemea DAWASA...sasa wewe utamwambia mtu aunge maji ya kulipia 15+k kwa mwezi wakati wamezoea kupandisha kwa umeme wa 2k...huu mradi ni mkubwa, ili kurudisha pesa, itabidi waungwe watu wengi zaidi.
 
Ifike sehemu viongozi muwe na aibu jamani na wakazi wa kigamboni hata kama niwapole!

1. Wananchi wa kigamboni wanaishi kama digidigi kwenye pantoni na hakuna kiongozi hata mmoja anaeguswa na hilo
2. Mabanda ya abiria kwenye pantoni hayana viti lakini hakuna anaejigusa Si Temesa, Si LATRA, Si mbuge wala mkurugenzi

3. Vyoo kwenye mabanda ya pantoni kipindi cha MAGUFULI walifuta tozo, lakini sasa ni malupo ili abiria atumie choo lazima alipie tena akiwa ndani ya banda!
4. Abiria wa pantoni wanalipa na wapo wa kutosha lakini vivuko ni vibovu balaa na pachafu utafikili wanavusha mifugo (No standard)!
5. Hakuna mkakati rasmi wa kulinda utu na ustaarabu wa abiria.
6. Msaada wa AZAM TAX wananchi wanashukuru, lakini Hakuna taarifa rasmi kwa wananchi kwamba AZAM ametoa huduma hiyo kwa makubaliano yepi, je ana mkataba upi wa zawadi au tenda yake ni ya mda gani! Kajitolea au kaombwa kwa makubaliano gani (Tunashukuru lakini wananchi wapeni taarifa-Updates)
7. LATRA Wekeni ruti ndefu ya usafili kuunganisha kigamboni na kinondoni ili kupunguza msongamano kwenye pantoni
8. Ingawa tiba ya kudumu kabisa pale ni kuweka daraja la chini pale kivukoni katika muundo wa spiral - sea under pass!

Yote tisa kumi Sasa mnataka kuibua mgogoro mwingine wa ishu ya maji kwa makusudi kabisa

Tone la maji la kwanza kigamboni linapelekwa mjini wakati wakazi wa kigamboni hawana maji tangu Uhuru hii ni dharau iliyopitiliza!

Siyo kwamba napinga maji kuvushwa mjini hapana, lakini je Wakazi wa kigamboni wamepatiwa hayo maji yenyewe?

Mwaka 2019 kwenye kampeni ya vyoo bora, kigamboni ilikuwa ya mwisho kutokana na ukosefu wa mtandao wa maji majumbani.

Visima vya maji kigamboni ndo kwanza vimekamilika sasa, Wananchi asilimia 95% hawana maji inakuwaje unazindua mradi kwa kuelekeza maji mjini kabla ya neema hii kuwafikia wanakigamboni kwanza?

Kama hoja ni upungufu wa maji mjini, kwa uzito huohuo ifahamike wanakigamboni wao hawana maji kabisa!
View attachment 2400944

Hivi ile hela ya kivuko inapelekwagwa wapi sijawahi isikia hata
 
Na nipesa nyingi balaa lakini hawana mipango ya matengenezo! Wanafanya kazi za marekebisho kwa kutumia beach boy ...yaani ni viraka viraka utafikili hakuna mipango
 
Hii bwana nimeskia.ila nimejiuliza mbona kigambon kwenyew hakun maji.iweje yaende ilala kama sikosei niliskia.
 
Wengi waliojenga Kigamboni wana visima.
Wapeni tu maji watu wa Goba na tegeta sijui bunju huko nao wawe wanapata mkogo asubuhi.
 
Hivyo visima huko mjini kwani hawana? Kwahiyo kukiwa na shule binafsi hapastahili kuwepo shule ya serikali?
 
Back
Top Bottom