Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

panga , nondo , kisu , mkuki hata filimbi ni vitu vya kawaida kukaa chumbani kwa mwanaume kwa ajili ya self defence
 
huu wehu sijui utaisha lini?
Freemasons freemasons, wengine washaanza kudai tarehe aliyokufa ya kifreemasons sijui nini?
Kwani kuna tarehe maalum ambazo mtu inabdi afe?
Wengine nimesikia wakidai eti kuna dada flani alisema aliwahi waona kanumba na watu wengne saba wakiingia hotelin wakisali kwenye chumba flani uchi.
Kwanza freemasons hawasali uchi kama inavyodaiwa wana nguo zao maalum wanazovaa kwenye ibada zao huku wakiwa wamejifunga kitambaa maalumu kinachodunika maeneo ya zip za masuruali yao.
Pili kama walikuwa wanasali uchi yeye alijuaje wakati anadai walikuwa wamejifungia ndani ya chumba.
Acheni mambo ya kufikirika

Mwelekeze huyo jamaa mkuu,hata sample video yao hii hapa Freemasons Ritual Video - YouTube
 
RPC wa Kinondoni amenukuliwa na Daily News 10.April 2012 akieleza kuwa chupa ya whisky, sprite, na panga ni miongoni mwa vitu vilivyochukuliwa kutoka chumbani kwa kanumba ikiwa ni sehemu ya uchunguzi wa kifo cha msanii huyo nguli, lulu anauguza majeraha madogo aliyopata kutokana na panga hilo, ikiwa ni pamoja na yale yaliyo sehemu za siri

Imekaaje hii wakuu, kanumba alitaka kuchinja mtu kwa wivu wa mapenzi?

inawezekana lulu alikataa kumpa unyumba maana marehemu Kanumba naye mmh
 
Nadhani kwa kuwa matukio yote yalitokea weekend... Lakini pia polisi hawajajipanga, hata leo wamefanya hivyo kuogopa kunyooshewa vidole kwa ukiukwaji wa haki za binadamu. Kiuhalali ilitakiwa afikishwa jana.

But mtoto ana defense nzuri tu ya kushinda hii kesi, haijalishi katembea na midume mingapi na yenye umri na maumbile gani, bado ni underage and minority kwa Kanumba, wakili wake lazima atashikilia hapo tu.

YOU ARE JOKING RIGHT?
Defence hiyo haisimami kwenye kesi kama hii ya kumtoa mtu roho kwa kukusudia au kwa bahati mbaya.
Ingesimama kwenye kesi za ubakaji and the like.
Thank God wakili wa Lulu anajua line of defence ya kumtetea angalau kumnasua na adhabu kali ( mitigation) au hata kuweka shaka kwenye kesi ya prosecution.
Ila sijui kama kuna aliyesema au kutujuza Lulu kashtakiwa na kosa gani maana hili nalo ni muhimu kujua.
 
Kanumba amewahishwa kuzikwa, mimi napendekeza ashitakiwe kwa kuonyesha mfano mbaya kwa jamii yetu, ametuharibia sana watoto wetu, na hata jamii kwa idadi kubwa ya Watanzania na Africa Mashariki na ya Kati, tulimwamini na kumpa fursa na heshima ktk sebule na vyumbani mwetu,halafu imekuwa hivi,ametuangusha.
 
Nauliza kwa wanasheria wetu kwenye kesi Marehemu Kanumba hana makosa yoyote?

Mkuu marehemu huyo,hata kama ni kesi ilikua ni ya kufanya/kushiriki kimapenzi na Minor (Which ni ubakaji).But kesi iliyopo hapa ni ya mauaji
 
Sheria inasemaje kufanya mapenzi na mtoto wa miaka 16?

Kufanya ngono na under 18 ni kosa la jinai kufuatana na SOSPA 1998 now under Penal Code Cap 16 as ammended in 2002.
Marehemu hawezi kuhukumiwa akiwa keshakufa kwenye kesi za jinai. Kesi ya jinai hufa na mtu pale anapoaga dunia.
 
hata huyu binti ana gari? Dah lazima nipambane mwaka huu na mm nivute kasuzuki.....habari za kiitelijensia zinasema huyo mtu ni vicent kigosi.

hana gari huyo binti ila alikuwa anatumia gari aliyohongwa na kigogo mmoja wa Chama Cha Matusi ambaye ni mbunge toka mkoa wa jimbo mojawapo mkoani Tanga.
 
Back
Top Bottom