Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Tanzania inakabiliwa na uhaba mkubwa wa ushahidi

na sheria kwa ujumla wake.
sheria si huru, iko politicized, iko personlized,ina kosa vitu fulani fulani katika fani nzima ya sheria.haswa katika kesi fulani fulani
turejee kesi mbalimbali kwa mifano
kesi ya mgombea binafsi,
kesi ya zombe,
kesi wanamuziki wale walipelekwa jela kwa sababu ya kulawiti watoto papi kocha na baba yake
kesi ya tanesco dowansi
ukiachilia mbali vikesi vya kila siku katika mahakama ndogondogo.

sheria huru kwetu bado ni tatizo nafikiri njaa na kujuana kwaweza kuwa tatizo pia
 
Lulu1.jpg
 
tuna juvenile courts, kwani minor ndo anastahili kuua hata kama ni bila kukusudia??

Ila hiyo juvenile court inaruhusu sexual abuse kwa minor? inawezekana yule mtoto ameadhirika kisaikolojia kutokana na kuwa na mahusiano akiwa na umri mdogo na ndio chanzo cha yeye kumpeleka kutenda kilichotokea. Lakini kwanini umma unamhukumu huyu binti kabla ya hukumu kutolewa?
 
Awe 17 au 5 harusiwi kuua!

Cha msingi nikumuombea asipatikane na hatia

Pia kuwa alikuwa minor who knows wakati alishatangaza yuko 18. Hata marehemu hakuwa na makosa kwasababu hakuwa na kipima miaka.
 
Nani alaumiwe sasa?

lulu+2.jpg

jamii inayomzunguka inapaswa kulaumiwa naamini kuna waliokuwa wanamtumia tu na hali wakijua huyo bado binti mdogo, akiwa anafanya vituko kama pichani hapo ilibidi watu kumwambia ukweli kuwa anaharibu future yake.
lakini kwa kuwa siku hizi tuko too individualistic tunajitia hatujali mambo yasiyo yetu basi wazazi wake ni wakulaumiwa na si kuonewa huruma hii ni effect ya malezi yao kwa binti huyu. huwezi kusema unampenda mtoto huku unamwacha anaharibika kiasi hiki nawe umekaa tu mwanangu staaar haya sasa yakowapi
nilishawahi kumwona lulu mlimani city nguo alizovaa na mashauzi aliyokuwa anafanya nilimuonea huruma maana alidhani anawafurahisha watu kumbe masikini watu walikuwa wanamsikitikia tu.
haya ndio malezi ya siku hizi wanayaita YA KIZUNGU
 
Hili la umri wa miaka 17 sidhani kama utakuwa utetezi mzuri kwenye kesi inayomkabili ambayo anatuhumiwa kuhusika na kifo cha Kanumba. Kwa wale wenye kumbukumbu nzuri kuna tukio lililotokea mwaka juzi ambapo kijana mmoja mwenye umri wa miaka 14 anayeitwa Rama aliyekamatwa na kichwa cha mtoto huko hospitali ya Muhimbili bado anasota rumande hadi leo yeye pamoja na mama yake japokuwa umri wake ni mdogo kuliko wa Lulu. Tusubiri tuone itakavyokuwa.
 
Nimejikuta nikimwonea huruma Lulu jamii yote imeshamtia hatia hakuna muda wa kutafakari.I hope atapata nafasi ya kusikilizwa.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Duh hata bia kanagonga
LULU.jpg
Duh! Haka kabinti lazima tu katatoka jela. Kumbe kameanza kubakwa tangu zamani sana na hivyo kukasababishia matatizo ya kisaikolojia. Kama uchunguzi wa kina ukifanyika, mibaba mingi tu inapaswa kuwa implicated kwenye kesi hii. LULU HAKUWA NA MAMBO YA KIKUBWA BALI ALIINGIZWA KWENYE MAMBO YA KIKUBWA KWA KUDANGANYWA!
 
Hiki ni kisilani kw huyu binti,hata akiachiwa huru automaticaly she 'll be physcological torturted.Bt na mdogo.wake mareh.alitakiwa awekwe kit moto anaweza akawa na fununu fununu kia ina.Mbona hatumskii?
 
Back
Top Bottom