Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Dah,hizo filmu atazigawa bure?

mi mwenyewe nahisi kuharibika vibaya kwa soko la filamu za Ray kufuatia kifo hiki,Ray kapata bahati mbaya sana kwamba kanumba kafikwa na hili wakiwa hawaelewani,so mashabiki wa kanumba wanaweza kuzisusia movie za ray kwa hisia tu kwamba kahusika kumuangamiza mpendwa wao,ray anahitaji msaada wa kusafishwa kwa maslahi ya bongo movie industry ili aendeleze alipoishia swahiba wake wa zamani,kanumba alikua icon ya bongo movie,lazima apatikane mrithi,na mtu aliekua anaonekana kumkaribia kanumba ni ray,tumsaidie kipindi hiki kigumu kwake
 
je hawa wanaochomwa moto hawarudi kwa udongo?

Kwani wao wanatumia bible agano lipi mpaka wawachome moto?hapa kinachoongelewa ni maandiko ya bible!sasa jee ktk bible kuna kifungu kinasema
Wanadamu baada ya kufa wachomwe moto???
 
Ray na Johari wezi,walimwibia yule mbaba wakaanzisha RJ kampuni.Ray alimchukia Kanumba,sasa anataka kumuenzi.Ray kilaza tu
 
yaani huyu mtu huwa namchukia tu,ila sasa naona chuki imezidi kwa matendo yake

nahisi haunizidi mimi huyu jamaa mnafki sana kazi kugeza!
Kanumba alivyotoa this is it na yeye akafanya yenye maudhui kama yaleyale na nikiangalia muvi zake nikimaliza kichwa kinauma jinsi anavyopiga makelele
 
Vicent kigosi maarufu kama ray amesema atacheza filamu na jennifer pamoja na yule dogo mwingine wa kiume walioigina na kanumba katika filamu ya anko JJ ili kumuenzi kanumba. Pia ameahidi kuanza kuigiza na watoto wadogo kama alivyokuwa anafanya kanumba ili kumuenzi.


source: DW idhaa ya kiswahili.
Ila kwa taadhari huyo muigizaji Ray achunge asiingie tamaa ya ngono kama walivyofanya Michel Jackson na Bwana Kanumba kufanya watoto wadogo wapenzi wao!!!! Lazima afuate maadili ya Kitanzania ya kuheshimu utu wa watoto ili walelewe kwenye maadili mema, huo ni mchango wangu!!!!

 
Tatizo la kukariri biblia neno kwa neno

hahahahahaa!!!
Umempa jibu zuri sana.
Ajiulize makaburi ya uyahudi yalikuwa mapango, huo udongo ulitoka wapi kwenye pango na kaburi lilifunikwa na jiwe kubwa?

Kukariri kubaya sana!!
 
Haya Sasa Ray si ulikuwa unataka kutawala uwanja! Uwanja huo kazi kwako!!!
Hawa Jamaa wanaojiita Bongo Movie bila Aibu wamejibinafsisha Msiba wa Kanumba. Tunasubiri Hesabu ya Michango na Matumizi yake.
 
nahisi haunizidi mimi huyu jamaa mnafki sana kazi kugeza!
Kanumba alivyotoa this is it na yeye akafanya yenye maudhui kama yaleyale na nikiangalia muvi zake nikimaliza kichwa kinauma jinsi anavyopiga makelele
hususan ile pumbaaaavuuu huwa natamani angekuwa karibu nimtie ngumi.
 
Back
Top Bottom