Viper
JF-Expert Member
- Dec 21, 2007
- 3,667
- 1,401
hebu muacheni jk ... asingekwenda mngemsema amekwenda mnamsema..
hii inakumbusha ile interview ya kanumba alipotoka BBA na kuwalaumu wabongo na hizi tabia zetu za lawama.
kama Obama hakwenda msiba wa Michael Jackson ni yeye. obama na koti lake.... sisi waafrika tuna mila na taratibu zetu... kanumba alikuwa kipenzi cha watanzania tunaoshi uswazi... sijaona kosa la jk kwenda msibani...
RIP .. HOMIE