Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Mtoto keshasherehekea miaka 18, saizi anadai ni chini ya miaka 17. Ndiyo bongo!! Sijui kama anakumbuka au ndiyo chetu kinasema hivi na hiyo ilikuwa interview.

mkuu hivi sikuizi watu tunakua huku tunarudi nyuma,mara mika 18,mara 17,mara 16,damu ya mtu ni mbaya sana watarukaruka mwisho watatua tu!
 
nyumbani ni nyumbani.hapo mzee ameonyesha udhaifu.c o wajibu wake kutengeneza miundombinu.kwani kifo cha kanumba kingesababisha barabara zijengwe kwani viongozi wote wa nchi walngeenda na mkoa ungechuka dhamana ya kutengeneza bara2.c o siri umerusha maendeleo ya magu nyuma.nia hayo tu.
 
acheni kupayuka jana, juzi na siku za nyuma mlikua mnawataja hao mapedee wenye uzto kuliko kanumba na aliesababisha hayo yote ni lulu kwa ukahaba wake. Waligombana kwa ajili ya cm je alikua anaongea na baba yake akitaka kujua kama bdo yuko tution? Msilete za mkutwa na ngozi ndo mwizi. Ni wangap Tz wanafanya ivo. Huyu kindegaten hakua na shida ya hela bali ni pepo la uzinzi.
Lakucha mbe...

Alishamaliza shule!
 
huyu mzee ana bifu na mwanae.

kwanza niliskia kuwa, mama yake kanumba ni mhaya, na baba yake waliacha siku nyingi sana, na hukuwa anataka hata kusika habari za kanumba. kanumba alijitahidi kurejesha uhusiano nasikia dingi lilikataa na halikutoa ushirikiano.

haya unakataa kuzikwa kwenu kisa eti hujajenga, kwani kinondoni amejenga? mbona kazikwa? wacheni mawzo mfu
 
Siku 4 tu zimepita tangu azikwe msanii na nguli wa filamu hapa bongo Steven Charles Kanumba, sasa magazeti ya udaku hapa Dar tena yale ya Shigongo yamekuja na taswira ambayo ni mbaya na ya kumkejeli marehemu mpendwa wetu Steven Kanumba.
Gazeti la Risasi la leo tarehe 14 limepambwa na picha kubwa inayomuonesha marehemu Steven Kanumba na kichwa kikubwa cha habari kilichoandikwa.
KANUMBA AONEKANA TABATA..
Jamani Serikali na wakuu wa vyombo vya habari mko wapi?
 
We! Hebu niende stendi Manyanya nikalinumue gazeti.
Utakuwa umeisaidia jamii kama ukilisusia hilo gazeti maana habari kama hizi sio nzuri kimaadili na pia inamkosea adabu marehemu. Hivi mama Mzazi wa Kanumba anapokeaje habari kama hizi? Huyu Shigongo ni tapeli tu, huenda ni mshirikina pia.
 
naisoma hapa muuza duka kasema alienda kununua vocha ile kutaharuki akapotea. je kweli au naye muuza shop anatafuta umaarufu wa mzee wa loliondo.
 
Ikiwa ni siku ya nne tangu kuzikwa kwa msanii maarufu wa filamu Bongo, Steven Charles Kanumba, taarifa zilizotufikia zinadai kuwa, marehemu huyo ameonekana katika mazingira ya kutatanisha maeneo ya Tabata Mawenzi jijini Dar.

Chanzo chetu cha habari kilichojitambulisha kwa jina la Mama Maembe juzi kilisema kuwa, marehemu alimtokea muuza duka maeneo hayo aliyefahamika kwa jina la moja la Emmanuel akimtaka amuuzie vocha.

"Mimi nilikuwa nimesimama na ndugu zangu nyuma ya lile duka, wakati tunaendelea na mazungumzo, ghafla tukashangaa mtu anakuja akikimbia na kusema kamuona Kanumba dukani kwake akiwa amevaa nguo nyeupe.

 
hizi habari za kanumba zimechosa sana sasa, haswa zikiwa za uzushi. Mwacheni apumzike huko aliko.

Na si kila unachosikia unakirusha hewani kabla hujatafakari..................
 
Back
Top Bottom