Kiduku mtaani kwetu jioni ya leo.................!

gfsonwin ahaaaa sasa nimekujua kumbe wewe ni yule dada wa maarufu kwa kuchora PIKO.....!
Huyo Mzee Kambanyuma si yule ambaye mwaka jana alimcheza yule bintiye aitwae Fitina ambaye alikuja kuolewa na mtoto wa mzee Mambaligwa, aitwae Mshamu, yule kijana aliyekuwa mpiga ngoma maarufu wa mdundiko hapo mtaani..........

Leo nitapita hiyo mitaa, nitakujulia hali............................

hapo hapo tena si unkaumbuka yule somo wake fitina nilikuwa mimi? hata kwenye kusasambua nilisasambua mimi? wewe ni ndugu na mshamu manake siku ile ulivaa kanzu na ulikula pamoja na maharus.
 
hapo hapo tena si unkaumbuka yule somo wake fitina nilikuwa mimi? hata kwenye kusasambua nilisasambua mimi? wewe ni ndugu na mshamu manake siku ile ulivaa kanzu na ulikula pamoja na maharus.
gfsonwin mie ni mpiga picha tu hapo mtaani kwenu, na wala sina undugu na Mshamu bali nilisoma naye hapo Tandale kwa Mtogole Primary School.
Mie naishi Mwananyamala kwa Ali Manjunju
 
Last edited by a moderator:
jamani jamani utandawazi na tv zinaharibu watoto makamu hayo washajua ****** dili lol! wakibalehe wote hawa na wakijua hawana ****** lazima wakimbilie kwa mchina mbaya zaidi hadi wavlana wanayataka au ndo cameroon na obama katia sign hii ni balaa ni vema kuwafahamisha watoto tangu wadogo haya ni mabaya haya ni mema kuepuka balaa hz na huko shuleni ndo wanafanya zaidi ya hv coz walimu wako busy na kusaka shekeli maadili ya watoto now ni mzazi tuu ukitegeme mwalimu ujue toto lako litakuwa sio kabisaaaaa
 
lord have mercy! babu Mtambuzi sijui nitafanyaje wanangu mie kha! waeza mtu rudishiwa mahari hivihivi, kumbe mtoto alianza kitambooooooo mchezowe, lolest!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom