Kidato cha sita kuripoti vyuoni mwezi wa kwanza 2015

george de hero

Senior Member
Jul 7, 2013
122
14
Jamani wanajamvi naomba mnisaidie eti ni kweli kidato cha sita wa mwaka huu wataanza kuripoti vyuoni january mwakani...
 
jf porojo zimeidi. (taarifa yoyote bila chanzo ni pirojo za kijiweni.)
 
Hizo ni tetesi tu hata sisi mwaka jana tuliambiwa. Chuo mwezi wa kumi kama kawaida.
 
Jamani wanajamvi naomba mnisaidie eti ni kweli kidato cha sita wa mwaka huu wataanza kuripoti vyuoni january mwakani...

CHUO IN MWEZ WA 11.piga garagaza..application za mikopo wanatakiw fanya kabla ya jkt au wakiwa huko.na tcu wakiwa kambini.
 
Kuna tangazo la jkt linatangazwa clouds fm...lisikilizen mjue....linasema kwamba wale form 6 wa awamu ya pili ambao watachaguliwa vyuo vikuu,wataandika barua kwa mkuu wa jkt ya kutokwenda mpk watakapomaliza masomo yao....CHUO OCTOBER
 
asante kwa taarifa.naomba msaada wa sanduku la barua la mkuu wa jkt
 
Back
Top Bottom