Hajakipatia. Angekuwa ameweka ni nani anayemkaanga ingekuwa nzuri sana. Maana hajikaangi mwenyewe kuna mtu anamkaanga
Tehe tehe!kaaaaaazi kwelikweli!
Mkuu, hata internal conflicts zinawaua magamba kwa kiasi fulani.Hajakipatia. Angekuwa ameweka ni nani anayemkaanga ingekuwa nzuri sana. Maana hajikaangi mwenyewe kuna mtu anamkaanga
Hajakipatia. Angekuwa ameweka ni nani anayemkaanga ingekuwa nzuri sana. Maana hajikaangi mwenyewe kuna mtu anamkaanga
Mkuu nimekubalimkuu ccm inajikaanga yenyewe
Mkuu ... amekipatia sana. Ukweli ni kwamba CCM ndio wanajimaliza wenyewe (japo hawajui) na si vyama vingine vya upinzani vinawamaliza. Kina Wareboya wamekazana na Dr Slaa kwa kufikiri kuwa wakishusha umaarufu wake na Chadema itakufa na upande wa pili CCM itapanda tena chati kumbe wanajidanganya.Hajakipatia. Angekuwa ameweka ni nani anayemkaanga ingekuwa nzuri sana. Maana hajikaangi mwenyewe kuna mtu anamkaanga