Kibonde kutukana "mamayo"wafanyakazi wa atcl ni taaluma ama upumbavu??waombe radhi hawa wazee wako

Mshackia mtu mwenyewe anaitwa kibonde,sa m2 ka huyo anajua nin zaid ya kupayuka payuka 2.
 
Mi sio fan wake lakini hakutukana, tuache uzushi wa kuanzisha topic zisizo na ukweli au kama ulisikia vibaya tafuta uhakika kwanza. Au kama uliambiwa jaribu kutafuta uthibitisho. Pamoja na mambo mengine alisema ".....kafanye kazi kwa mamako...". Kama ulisikia vibaya kutokana na matamshi ni sawa lakini hicho ndo alichosema.

Kuna mwingine alianzisha hii thread, nikawaambiwa Kibonde hakutana nilishambuliwa humu! na wengine Im sure wengine hawakusiliza kipindi, you are very right kwamba alichotamka kibonde ni hapo kwenye red
 
"K***mako wewe umeifanyia nini atcl miaka yote hiyo" hivyo ndivyo alivyosema. wakati wale mazuzu wenzake wanachekelea. Nilishangazwa nikajiuliza kama wako studio au baa!!!

nimepotea njia nini? naona nimefungua thead za udaku
 
binafsi nilisikiliza kipindi alikuwa anaonekana kumtetea sana david Mattaka kuhusu ATCL na kuonekana kuunga mkono Mattaka kuondokA ATCL kwa kujivunia kuacha nembo mpya. kwangu hii ni aibu kubwa msomi kusimama kwenye vyombo vya habari unajisifia kwamba kitu kibukwa ulichoacha kwenye shirika ni nembo, Nahisi kibonde kala sana pombe za mattaka na pengine hupewa vichenji mara moja moja na Mattaka
 
Wewe ndio Kibonde nini? Unajitahidi sana kumtetea, kulikoni? Ok, let's say hakutukana, lakini kumwambia maneno kama hayo mtu aliyekuzidi umri ni utamaduni wetu wa-tz? Au wewe si m-tz? Angekuwa babaako kaambiwa akafanye kazi kwa mamaake ungekuja kumtetea huyo kibondeee?? Acha hizo!!
Sasa mara niwe kibonde, mara nimtetee, mbona hueleweki?? Kukusaidia tu Simtetei Kibonde na wala simjui zaidi ya kumsikia redioni tu. usiwe mvivu wa kufikiria. Nasema tusianzishe vitu kama washabiki wa mtaani wanaoshabikia Simba na Yanga wanaoanzisha tuhuma kwa uzushi tu na kushabikia vitu. Suala hapa ni kutukana hilo tusi linalosemwa katukana. Hakutukana hilo tusi na hakuna aliyetetea ujinga wake mwingine
 
jamani saa ingine mwajiumiza tu vichwa na kibonde hivi ninyi mliona wapi
mtu wa aina ya kibonde akawa na haya?
 
binafsi nilisikiliza kipindi alikuwa anaonekana kumtetea sana david Mattaka kuhusu ATCL na kuonekana kuunga mkono Mattaka kuondokA ATCL kwa kujivunia kuacha nembo mpya. kwangu hii ni aibu kubwa msomi kusimama kwenye vyombo vya habari unajisifia kwamba kitu kibukwa ulichoacha kwenye shirika ni nembo, Nahisi kibonde kala sana pombe za mattaka na pengine hupewa vichenji mara moja moja na Mattaka

hUYU NU M PUMBAVU KATIKA WAPUMBAVU ALAFU NILIPOONA SHULE YA YAKE YA KUIULIZIA VIZURI NI PALE ALIPOKUWA AKIMSIFIA MATAKA KWA KUACHA NEMBO YA ATCL ALAFU UNAJUA HUYU BWANA ALIFANYA KAZI NA MAMA YANGU MSHENZI MKUBWA NANI ANATAKA KUJUA ALIFWANYAJE MAMA YAKE ANATUTNGAZIA ADHAANI MI MPAKA NIKAANZA KUVUTA SURA YA MATAKA NA KIBONDE KUNA UMUHIMU BABAKE KUTUAMBIA UKWELI MTOTO WA NANI HUYU!!!HAWA WAMAM WANA SIRI NZITO SANA MWISHON WANAWAMBIA WATOTO WAO SASA UKIKUTA NAO WANA VICHWA PANZI KAMA NDUGU YETU NDIO WANAONA SEHEMU YA KUSIFIA BABA ZA O KWENYE KAZI HANA ADABU KABISA UNATUKANA WATU WAZIMA WANAKUZAA UMECHUCHUMAA ..SHETWAN MKUBWA NATUMAIN ATAACHA UJINGA WAKE
 
wewe pia unatukana mama yake, na huwezi kumlaumu anayetukana kwa kumtukana na wewe tunakuweka kundi hilo hilo. Lakini pointi ya msingi hapa ni kuwa hilo tusi kubwa analoambiwa alitukana si kweli. Pengine kama mnataka kumlaumu kwa haya mengine ni sawa lakini sio kwa uzushi wa maneno ambayo hakusema.
 
mi sio fan wake lakini hakutukana, tuache uzushi wa kuanzisha topic zisizo na ukweli au kama ulisikia vibaya tafuta uhakika kwanza. Au kama uliambiwa jaribu kutafuta uthibitisho. Pamoja na mambo mengine alisema ".....kafanye kazi kwa mamako...". Kama ulisikia vibaya kutokana na matamshi ni sawa lakini hicho ndo alichosema.
hapo kwenye red je hiyo mni kauli ya kuongelea redion kwa mtangazaji professional? Hebu tuache ubishi wa kijinga huyu bwana ana mapungufu makubwa kiutendaji anaitumia redio kwa maslshi binafsi na shoga zake
 
Ana mapungufu mengi kama uliloonyesha hapo kwenye red lakini pointi ya msingi hapa ni tusi analodaiwa kutukana. Siyo kweli. Na nasisitiza kama unavyosema tuache ubishi wa kijinga, tuache ushabiki wa kijinga hilo tusi hakutukana. Alisema maneno mengine mabaya lakini si hilo tusi. Siyo kwa sababu ana mapungufu mengi ndo mumsingizie na mengine, huo ni ushabiki usio na maana kwa watu wenye akili
 
Back
Top Bottom