BabuK
JF-Expert Member
- Jul 30, 2008
- 1,845
- 329
Rais Kibaki ana hoja ya kizalendo..ingawa baadhi ya wachangiaji mada wamepotosha na pia tumefahamau kwamba Baridii hatoki pangani akama anavyodai na Nairoberry anatamani serikali ya TZ iuzwe na kununuliwa na Kenya..a very so dreamy idea! Economic integration ni mwendo wa sasa na tunachohitaji ni Nia thabiti ya kuaminika ili tuwe na yumkini aminifu na mawazo ya Usultani na Ufamlme yatoweke kwa wale wenye ndoto hizo vingine EAC itaendelea kuwa ndoto ya mchana kwa vizazi viwili au vitatu vijavyo!! Nawaheshimu sana Wazee waasisi wa EAC... Mwalimu Nyerere aliwahi kusema.."It can Be Done Play Your Part" na Mzee Kenyatta alikuja na kaulimbiu "Harambee" -ilioamanisha Tushikamane na Kusaidiana Tujenge Nchi Yetu..Nakumbuka mpaka na wimbo uliosema harrambe harambe tuimbe pamoja ..tujenge nchi yetu ..Nchi yetu iende mbele!!! .. These are still the Inspirational words to make all of us forge ahead with what needs to be done and let all the **** talk out of this discussion forum.!