Kiashiria kingine cha uhusika wa serikali mateso ya dk ulimboka

MELODY

Member
Apr 6, 2012
23
11
Leo viongozi waandamizi wa chadema Dr Slaa,Mnyika,Mbowe na Lema wametangaza kufuatiliwa kwa madhumuni ya kuuwawa na wanaoamiwa kuwa ni usalama wa Taifa kwa madai wako nyuma ya mgomo wa madaktari.Kama wameweza kwa viongozi hawa basi ni dhahiri serikali ilitumia mbinu hii hii kumwondosha duniani dr Ulimboka ila Mungu kamwokoa.WANAJARIBU KUZUIA UPEPO KWA VIGANJA VYA MKONO.
 
hakuna chochote tatizo la chadema wameshaona wamekwama kwenye mgomo kuiangusha serikali na wakaamu kumteka
 
Wasichokoze peoples power, tafadhari pinda hii ngoma si saizi yenu kabisa
 
kwani makubaliano ya kusitisha mgomo yalikuwa kati ya serikali au chadema au mahakama.
 
Liwalo na liwe halitakuwa kwa viongozi wa cdm. Mungu atawalinda na udhalimu huo.
 
Kweli hata jini ana wafuasi, watu wengine wanawashabikia wauaji kazi ipi katika jamii hii ya kikombe cha Babu.
 
chadema wanahusika kwa utekaji wa DK ULIMBOKA baada ya kuona DK JK anakamilisha kumaliza Mgomo ikumbukwe hawa hawa chadema ndiyo waliye mu assasinate CHACHA WANGWE watashindwa kumu aasasinate ULIMBOKA ? KWA KWELI WATANZANIA KUWENI MAKINI NA HWAA CHADEMA a

Mwakyembe na Mwandosa mbona hamuulizi?????

Acha uwongo, Husomi au huoni video ya Ulimboka. Mbona kawataja kabisa...
 
.......sio nyie CHADEMA mliomfitinisha JK na rafiki yake LOWASA Mpaka leo anawindwa wamvue gamba? na hili la ulimboka mtakataa nini.
Duuuuu!.......kuna mtu alinambia kuwa mataahira kwenye hii nchi hawatakaa waishe nikambishia khaaaa....leo nimeamini kuwa kumbe bado wapo tena wengi kweli!.....pole manake umetokwa na jasho sana .....ila huwezi kubadili upepo.....zile kucha za Ulimboka lazima mzirudishe!
 
ubongo umejaa majimaji ya chadema ndio lugha yenu.... nimekusoma

Mama Porojo, kabla sijakuuliza ninachotaka kukuuliza nijibu swali hili: Unaamini kuna Mungu na kwa maana hiyo unamuogopa Mungu (which means utanijibu ukweli kama Mungu aishivyo?)?
 
mangi waukweli Duuuuuuh,This is serious,nikiambiwa kwamba wewe haujawahi Kuugua Akili nitabisha Mpaka siku naingia kaburini!!!
 
Last edited by a moderator:
chadema wanahusika kwa utekaji wa DK ULIMBOKA baada ya kuona DK JK anakamilisha kumaliza Mgomo ikumbukwe hawa hawa chadema ndiyo waliye mu assasinate CHACHA WANGWE watashindwa kumu aasasinate ULIMBOKA ? KWA KWELI WATANZANIA KUWENI MAKINI NA HWAA CHADEMA a

Mbona umeangalia Chacha pekee?Mi nahisi hawa chadema walimwondoa Sokoine,Imrani Kombe,Kolimba, Balali na wengineo au vipi?
 
mangi waukweli CDM wakifanya mauaji na serikali ikashindwa kuwakamata na kuwafungulia mashtaka ni serikali dhaifu iliyoshindwa kulinda raia wake kwa hivyo ni kama si serikali halali tena. Kuna mambo najua wao kama CCM hawataki kuyasikia na hivyo haishangazi kama wanapanga kuua watu. Kumbuka Horace Kolimba alikieleza chama kuwa kimekosa dira hakumaliza hotuba yake, tunaye waziri wa fedha Kibona mwajua historia ya yaliyompata, juzijuzi wakaona Dr. Ulimboka kawakalia pabaya wakafanya ya Mabwepande, sasa Mnyika kusema tumefika hapa kwa sababu JK ni dhaifu akina Nzoka wanaona ni bora kumwondoa ili wabakie wao wenyewe manyoka tu. Ukweli kama wanawatilia mashaka kwa nini wasiwakamate na kuwafungulia mashtaka mambo yakawa hadharani? Mahakama si za serikali pia? Kumbukeni pia Prof. Mwaikusa kusema tu mgombea binafsi aruhusiwe wakatumia kesi ya kuwatetea wauaji wa kimbari nchini Rwanda kumpa kazi Kagame akaikamilisha mara moja...jamani tunaenda kusiko!!!
 
Last edited by a moderator:
Mama Porojo, kabla sijakuuliza ninachotaka kukuuliza nijibu swali hili: Unaamini kuna Mungu na kwa maana hiyo unamuogopa Mungu (which means utanijibu ukweli kama Mungu aishivyo?)?

achana naye muuza ....a huyo.
 
chadema wanahusika kwa utekaji wa DK ULIMBOKA baada ya kuona DK JK anakamilisha kumaliza Mgomo ikumbukwe hawa hawa chadema ndiyo waliye mu assasinate CHACHA WANGWE watashindwa kumu aasasinate ULIMBOKA ? KWA KWELI WATANZANIA KUWENI MAKINI NA HWAA CHADEMA a
Aisee huwezi kuwa mtoto wa mangi, hebu muulize mama vizuri kuwa baba ako ni nani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ccm nyie magaidi na sasa hivi hata fbi wanajua mambo yote mnayofanya,nyie mtashitakiwa tuuuuuuuuuuu,mmekosa mvuto kabisaaaaaaaaaaaaaaa.watu hawatarudi nyuma mjue
 
Back
Top Bottom