Kiashiria kingine cha uhusika wa serikali mateso ya dk ulimboka

umeona majibu yako hii ndiyo hulka za CHADEMA hakuna busara hata kidogo mimi nakwambia damu ya ulimboka itawagarimu endeleeni kuua watu kwa kutaka madaraka kwa nguvu. sio nyiyi CHADEMA mnahusika na mauaji ya CHACHA WANGWE,?SIO nyie CHADEMA mnahusika na mauaji ya MAMA YAKE mh selasini kwa kumtoa kafara kwa freemason baada ya kuwasaidia kuwapumbaza wananchi ili wawaone wakombozi.?sio nyie CHADEMA mnahusika na kumuwekea sumu mh.Mwakyembe ofisini kwake? sio nyie CHADEMA mnahusika na ajali ya mudhihiri mudhihiri mpaka akapoteza mkono? sio nyie CHADEMA mliomfitinisha JK na rafiki yake LOWASA Mpaka leo anawindwa wamvue gamba? na hili la ulimboka mtakataa nini.

Hakika wewe ni member wa Secret Mafia a.k.a. "Usalama wa Taifa" Kwa hiyo waliomwua Kolimba, kuwawekea vinasa sauti wabunge wa upinzani, waliomwua Salome Mbatia, walioua kwa kuwapiga risasi mchana kweupee wananchi wasio na hatia kule Arusha, waliowaua kikatili makada wa Chadema kule Igunga na Arumeru, waliowamwagia tindikali waandishi kina Kubenea na kufanya mateso ya kihuni ni CHADEMA na ambao serikali "pendwa" ya chama chetu cha majangiri imeshindwa hata kumkamata mmoja wao? Kama unachosema ni kweli basi hakuna haja ya kutawaliwa na serikali dhaifu kama hii na badala yake tutawaliwe na Chadema. Neno moja kwa usalama wa taifa; mnaweza sema uongo kila siku lakini kamwe hamtafaulu kudanganya watanzania daima. Wangwe aliuawa Dodoma kwenye "ajali" mliyoitengeneza na brief yake kuwa mikononi mwa Makamba alfajiri kabla hata viongozi wa CHADEMA kuelewa kilichotokea! Serikali ilizuga kumkamata na ktmshtaki "aliyesababisha" kifo ambaye baadae aliachiwa kiaina aina. Naona"De Hague" inawaita nyinyi na viongozi wanaowatumia. Shame on you Usalama wa Taifa turned Ma-mafia wa CCM.
 
Ccm mjue hatutarudi nyuma,nyie tatizo lenu mlisomea propaganda huku east europa.mambo ya uchumi zero,sasa propaganda hazina nafasi tena nyakati hizi.hamuwezi kutudanganya tena ,mkafie mbele
 
Hao magaidi wa ccm,wamekosa kazi siku hizi wanatakiwa kwenda shule na kusomea vitu vingine ili wajenge nchi.hizo mbinu zao za mwaka 47
 
Mtoto ccm amedumaaaaaa,kabemendwa,hatakuwa tena.chama kingine ni muhimu sana kuingia madarakani
 
umeona majibu yako hii ndiyo hulka za CHADEMA hakuna busara hata kidogo mimi nakwambia damu ya ulimboka itawagarimu endeleeni kuua watu kwa kutaka madaraka kwa nguvu. sio nyiyi CHADEMA mnahusika na mauaji ya CHACHA WANGWE,?SIO nyie CHADEMA mnahusika na mauaji ya MAMA YAKE mh selasini kwa kumtoa kafara kwa freemason baada ya kuwasaidia kuwapumbaza wananchi ili wawaone wakombozi.?sio nyie CHADEMA mnahusika na kumuwekea sumu mh.Mwakyembe ofisini kwake? sio nyie CHADEMA mnahusika na ajali ya mudhihiri mudhihiri mpaka akapoteza mkono? sio nyie CHADEMA mliomfitinisha JK na rafiki yake LOWASA Mpaka leo anawindwa wamvue gamba? na hili la ulimboka mtakataa nini.
kwa jinsi unavyosema inaonekana ajali zote zinazotokea hapa nchini CDM wamehusika nina wasiwasi na akili yako
 
Kama kila mtu kauwawa na CDM basi kazi ya serikali kuzuia na kukamata wauaji haina kazi. Wewe unafikiri unainanga CDM kumbe unaonyesha udhaifu wa serikali wa kudhibiti mauaji na kukamata wahalifu. Maadamu sasa wewe unawafahamu ni jambo jema nenda polis asubuhi hii ukafungue kesi ya mauaji.
 
chadema wanahusika kwa utekaji wa DK ULIMBOKA baada ya kuona DK JK anakamilisha kumaliza Mgomo ikumbukwe hawa hawa chadema ndiyo waliye mu assasinate CHACHA WANGWE watashindwa kumu aasasinate ULIMBOKA ? KWA KWELI WATANZANIA KUWENI MAKINI NA HWAA CHADEMA a

Deus Mallya aliyehusika kumwua Wangwe alikuwa TISS.
 
chadema wanahusika kwa utekaji wa dk ulimboka baada ya kuona dk jk anakamilisha kumaliza mgomo ikumbukwe hawa hawa chadema ndiyo waliye mu assasinate chacha wangwe watashindwa kumu aasasinate ulimboka ? Kwa kweli watanzania kuweni makini na hwaa chadema a

upuuzi wa mpuuzi huwa haujifichi! Ni mgomo upi wa madaktari ambao jk alikuwa anakamilisha kuumaliza? Ni mgomo huu ambao ameona suluhu yake ni kufukuza madaktari au kuwataka waache kazi wakatafute sehemu nyingine?! Hivi ndo unaita kumaliza mgomo au kuongeza tatizo? Ni nani ambao wanaweza wakawa walimteka dr. Ulli, je ni wale waliomfananisha dr. Ulli na hitler au wale waliosema wanaunga mkono harakati za wafanyakazi katika kudai haki zao? Ni mjinga tu asiyeweza kubainisha ni nani mhusika kutokana na jinsi matukio yalivyodhihiri, au hujui kuwa dr. Ulli alipatikana hai na alisema kwa kinywa chake mwenyewe ni kina nani walimteka, je aliwataja chadema au hao unaojaribu kuwaficha? Na kuhusu chacha wangwe ni nani asiyejua kuwa ccm kwa kutumia tiss ndio walitekeleza mpango huo katikati ya malumbano ya chacha na chama chake ili ku-take advantage ya kutengeneza mgogoro ndani ya chadema! Na wameshindwa kama ambavyo wataendelea kushindwa kwa kuwa idara ya tiss inayotumika na ccm imeoza na imekosa weledi wa kutekeleza kazi zao kwa kuwa wanazitekeleza kwa siasa za ccm!
 
Uncircumsized man... layoni.... i won't argue with u walking full of faeces in ur exit hole...

naomba sentesi yako ndiyo ikueleze kwamba chadema wanahusika.kwa ushahidi wa dk aliyempeleka hemed msangi kumuhoji ULIMBOKA amethibitisha kuwa hakuna sehemu yeyote aliyosema arudishiwe pochi yake na simu yake sikiliza radio clouds na channel ten walimuhoji hemed msangi na dokta aliye msindikiza hemedi msangi na wakati anahojiwa na uyo docta alikuwepo
 
Avatar yako inanifanya nisikuamini hata kidogo. Wewe si binadamu wa kawaida na inawezekana ndio mnaocheza mchezo huu wa utekaji

chadema wanahusika kwa utekaji wa DK ULIMBOKA baada ya kuona DK JK anakamilisha kumaliza Mgomo ikumbukwe hawa hawa chadema ndiyo waliye mu assasinate CHACHA WANGWE watashindwa kumu aasasinate ULIMBOKA ? KWA KWELI WATANZANIA KUWENI MAKINI NA HWAA CHADEMA a
 
chadema wanahusika kwa utekaji wa DK ULIMBOKA baada ya kuona DK JK anakamilisha kumaliza Mgomo ikumbukwe hawa hawa chadema ndiyo waliye mu assasinate CHACHA WANGWE watashindwa kumu aasasinate ULIMBOKA ? KWA KWELI WATANZANIA KUWENI MAKINI NA HWAA CHADEMA a

Hii ni tuhuma kubwa ambayo ukiwa great thinker, unatakiwa uithibitishe na watu hao wapelekwe mahakamani ili haki itendeke! Taarifa hii uliyoitoa hapa ungepaswa kuipeleka polisi kwa ajili ya kuwakamata watuhumiwa.
 
Hii ndo tactic halisi ya CCM ila umeamua kuipindisha kuwapakazia CDM.

Hawa akina Ahmed walishindwa zoezi la kuiondoa Roho ya Dr Ulimboka, kinachofuata ni CCM Kukomba roho zao ili waisetiri aibu yao. Sasa hivi fedha haina uwezo wa kuficha maovu yao CCM, damu za manunda waloshindwa kutekeleza Amri za KIMAFIA za CCM ndiyo pekee itakayo wapa ahueni wakati wanusubiri mwisho wao.

Mshahara wa dhambi siku zote ni mauti tu .............

hakuna chochote tatizo la chadema wameshaona wamekwama kwenye mgomo kuiangusha serikali na wakaamu kumteka
 
Kweli wewe na Stella Manyanya ni ndugu. "Unakodisha Basi halafu Unamuua dereva wa Basi ulilopanda likienda mwendo kasi?
 
umeona majibu yako hii ndiyo hulka za CHADEMA hakuna busara hata kidogo mimi nakwambia damu ya ulimboka itawagarimu endeleeni kuua watu kwa kutaka madaraka kwa nguvu. sio nyiyi CHADEMA mnahusika na mauaji ya CHACHA WANGWE,?SIO nyie CHADEMA mnahusika na mauaji ya MAMA YAKE mh selasini kwa kumtoa kafara kwa freemason baada ya kuwasaidia kuwapumbaza wananchi ili wawaone wakombozi.?sio nyie CHADEMA mnahusika na kumuwekea sumu mh.Mwakyembe ofisini kwake? sio nyie CHADEMA mnahusika na ajali ya mudhihiri mudhihiri mpaka akapoteza mkono? sio nyie CHADEMA mliomfitinisha JK na rafiki yake LOWASA Mpaka leo anawindwa wamvue gamba? na hili la ulimboka mtakataa nini.
naona umeamua uianike serikali yako
 
hakuna chochote tatizo la chadema wameshaona wamekwama kwenye mgomo kuiangusha serikali na wakaamu kumteka

Freemasons mnajua nini mnachokifanya,lakini Mungu aliye hai hatawaacha kutekeleza mipango yenu ya kishetani,
kama alivyomuokoa Dr Uli kinyume na matarajio yenu kudhani mmeshamtoa kafara,atawalinda watetezi wa watanzania.
 
chadema wanahusika kwa utekaji wa DK ULIMBOKA baada ya kuona DK JK anakamilisha kumaliza Mgomo ikumbukwe hawa hawa chadema ndiyo waliye mu assasinate CHACHA WANGWE watashindwa kumu aasasinate ULIMBOKA ? KWA KWELI WATANZANIA KUWENI MAKINI NA HWAA CHADEMA a

dr kikwete!!!!!!!!!!!!!!! he he ehee
usalama wa taifa, fanyekazi zenu vizur sio kwakupitia JF yani sasa hivi mmejaa kweli humu ndani ku oppose kila jambo kwakua kila mbinu mnazofanya zinakuwa hewa haraka, watanzania sasa ni makini sana kila kizuri na kibaya wanakiona shule za vodafasta a.k .a lowasa zimesaidia.
 
umeona majibu yako hii ndiyo hulka za CHADEMA hakuna busara hata kidogo mimi nakwambia damu ya ulimboka itawagarimu endeleeni kuua watu kwa kutaka madaraka kwa nguvu. sio nyiyi CHADEMA mnahusika na mauaji ya CHACHA WANGWE,?SIO nyie CHADEMA mnahusika na mauaji ya MAMA YAKE mh selasini kwa kumtoa kafara kwa freemason baada ya kuwasaidia kuwapumbaza wananchi ili wawaone wakombozi.?sio nyie CHADEMA mnahusika na kumuwekea sumu mh.Mwakyembe ofisini kwake? sio nyie CHADEMA mnahusika na ajali ya mudhihiri mudhihiri mpaka akapoteza mkono? sio nyie CHADEMA mliomfitinisha JK na rafiki yake LOWASA Mpaka leo anawindwa wamvue gamba? na hili la ulimboka mtakataa nini.
Avatar yako inaonyesha jinsi mnavyosaidiana na Mr Dhaifu kuwatoa kafara watanzania wasio na hatia.
Narudia tena mkono wa Mungu aliye hai Jehovah hautawaacha kuendelea kumwaga damu za watu
wasio na hatia.
 
hakuna chochote tatizo la chadema wameshaona wamekwama kwenye mgomo kuiangusha serikali na wakaamu kumteka

wewe ndo huna lolote hii serikali tutaiangusha tu na hivi inatumia nguvu za kishetani ndo kabsaaaa ...lione na linembo lake la freemanson
 
Back
Top Bottom